Kabla hujaingia kwenye kundi la walio wengi wanaolalamika kuhusu ubora wa bati katika kutoboka,kushika kutu, kupauka kwa sababu ya maamuzi yao wenyewe au kupotoshwa na wauzaji wenye tamaa ya pesa...
Wakuu,
Naulizia gharama ya PVC board za dari nje ya nyumba.
Zinauzwa sh. ngapi?
Kwa nyumba za vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning room & vyoo viwili, gharama ya ufundi ni Sh. ngapi?
Msaada ili...
Habari wakuu,
Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa.
Asanteni sana
RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli...
Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo
Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter
Kisha kuna gharama ya usafiri
Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo...
Viambaza ni sehemu ya urembo na finishing kwenye ujenzi wa nyumba.. Nyumba isiyo na kiambaza ni sawa na mchuzi chukuchuku... Ama mboga isiyo na viungo
Zufuatazo ni baadhi ya viambaza vyenye...
Jamani fursa zipo kwenye kila kitu mpaka vile ambavyo huwezi kiuvidhania.. Leo ni zamu ya vifuu vya nazi kwenye mapambo ya maua.. Vifuu vina mpaka mapambo ya mwilini lakini leo tunaanza na maua...
Hizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri
Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau
Heshima juu ya...
Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni...
Wadau wa ujenzi
Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote?
Natanguliza shukrani.
MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI
UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA
Tarehe: 28 Februari 2025
📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa...
Habari....tuna offer kwa ajili ya mashimo ya choo yasiyo jaa! Natoa offer ya kununua mabomba na kujenga chemba zote...karibu boss MIKOA YA DSM, NA PWANI YOTE Shimo moja kwa laki 8 na mashimo...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda...
1.unaweza kuikodisha anytime
2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa...
Nimeenda dukani kununua wall putty, nimekuta kampuni ya "Billion" na ya "Best Powder" ambazo sijawahi kuzitumia,
always huwa natumia White Skim ya Magic Builders ambayo kwa sasa haipo eneo...
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.
Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:
Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.