Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet
Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa...
Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae:
Sifa zake wanasema.
1. Hayajai kamwe
2. Hanachukua...
PIC YATAKA WAKANDARASI KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MSALATO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeuelekeza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)...
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki
Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
Offer: Ewe Mtanzania Nyumba Ni Choo Pata Huduma ya Ujenzi Wa Choo Cha Kisasa Kisicho Jaa Kwa Gharama Nafuu Na Rafiki Kwako Tunaptikana Temeke Dar es salaam Pia Mikoani Tunafika.
BEI ZETU NI KWA...
Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia
Special dedication kwa Malchiah na...
TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini...
UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA
Kumbukumbu:
Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga...
Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani.
Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi...
This is Africa and its traditions
Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako
1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu
Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza...
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi...
Habari zenu wajenzi wa taifa hili,natumai mko vizuri kabisa.
Back to the point, naombeni msaada juu ya hizo cement au powder za waterproof nahitaji kufahamu uwezo/ubora/na uimara wake pia nijue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.