BARABARA NJIA NNE NA SITA KUJENGWA JIJINI DODOMA
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya...
Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing?
Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana
Eneo temeke wailes
Ukubwa 500 sqm
Tambarare
MKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa...
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.
Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi...
UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya...
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.
Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala...
TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini...
Katika harakati za kumjengea mteja wetu ghorofa lake hapa Tabata Chang'ombe Dar es Salaam wkt tuna chimba msingi tukakutana na chungu kidogo kizuri kikiwa kimevalishwa shanga nyeupe nzuri. Vijana...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo...
ERB, ECI WAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFANISI KWA WAHANDISI.
Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) na Baraza la Uhandisi la India (ECI) wameanza utekelezaji wa makubaliano...
ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani...
BUNGE LABAINI KUSUASUA USAFIRI WA MWENDOKASI (BRT) DAR
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT)...
Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele
Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi...
UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.