Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto.
Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha...
Habar wakuu nahitaji kiwanja dar cha sqm800 kwa Dar maeneo yapi mazuri yamepangika vizur ambayo sio ushwahilini.
Hiwe rahisi kwa mishe ya mjini buget yangu ni 15m
Ndugu wanajamvi.
Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na...
Habari za wakati huu wana jf,
Hivi Kiwanja chenye square meters 290 kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu, dinning, sebule, kitchen na public toilet?
Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika.
Mara nyingi huduma hii inaambatana na...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa...
WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA.
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024...
ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya...
DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI ) LAFIKIA ASILIMIA 96.3, KUKAMILIKA FEBRUARI 2025.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa...
Wakuu je kokoto nyeupe kwaaajili ya beam na lenta nyumba ya vyumba viwili, sebule, jiko na choo zinafaa kwa unjezi maana ni bei nafuu kuliko nyeusi wataalam naomba msaada kama zinafaa nitumie tu...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.