1 >> Mwekezaji anatafutwa kwa ajili ya Kujenga au Kukarabati ( itakavyompendeza na tutakavyokubaliana) Kuendesha na Kusimamia.
2 >> Nyumba ipo Mkoa: Kilimanjaro, Wilaya: Moshi Mjini, Barabara...
BARABARA YA USAGARA - MWANZA MJINI KM 25 KUJENGWA KWA NJIA NNE
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa...
Habari za muda ndugu zangu natumai mnaendelea vzr katika kupigania pato la taifa
Naomba kujua gharama za kuskimm chumba kimoja tu kwa ndani...tafadhar nataka niandae bajet yng,,natanguliza...
Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa...
Karibu sana wateja wetu, sisi tunafanya kazi za ujenzi, finishing za makazi, Pamoja na UTENGENEZAJI wa Garden za KISASA. Gharama zetu ni sawa na bure, usikubali kuambiwa Bali chukua hatua ukitaka...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaojishughulisha na uvuvi maeneo ya Kigamboni kutunza mazingira na kutotupa nyavu katika njia inayopita vivuko ili viweze kutoa huduma ya...
Wana-JF Salaam!
Ninaomba kujuzwa mahitaji na makadirio ya kufanya skimming na kupiga rangi nyumba ya vyumba vitatu vya kulala sitting na dinning room, jiko na stoo na choo/bafu public.
Kimsingi...
SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA
Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh...
ULEGA AKAGUA VIVUKO, ATAKA MABORESHO YA HUDUMA YAZINGATIWE
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa...
Habari za majukumu wanajukwaa?
Naimani Mwaka huu umeanza vizuri na matarajio yangu kwenye mwaka huu ni lazima nitoke nje ya mipaka ya Tanzania kwa namna yoyote ile iwe isiwe.
Kabla ya yote...
Karibu Polaris Building Material! Tunapatikana Mbezi Beach Africana na Tabata Matumbi. Pia tunatuma bidhaa mikoani. Mabati kuanzia TSh 20,500.
Kwa mawasiliano zaidi tucheck PM
Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala
Mbao za 2/2 mbao 130
Mbao za 2/4 mbao 150
Misumali kg 45 ya inch 4
Mbao za fisherboard 18
Rangi sado 1
Kofia 26
Valley 18
Misumali ya bati pakt 30.
Bati...
Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ?
Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele.
Sina ujuzi wala uzoefu wowote...
Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI
NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za...
Habari,
Leo nimeona niwaelimishe ndugu zangu namna ya kujua idadi ya tofali zinazohitajika katika ujenzi wa nyumba.
Katika somo hili, tutatumia ramani ya chumba kidogo cha mita 3 kwa mita 3...
Waungwana, amani na iwe kwenu.
Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi.
Nipo katika hatua za mwisho za kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.