Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Tunajenga makazi na kufanya decoration zote ikiwemo gardening design kwa gharama nafuu kwenye ubora mkubwa. TUPIGIE kwa Namba zilizopo kwenye kipeperushi au hizi TUTAKUHUDUMIA. Pia ushauri wa...
Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
MWONGOZO WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA KWA GHARAMA NAFUU:
Usanifu na Ujenzi wa Kituo, Usafirishaji wa Mafuta, Jinsi ya Kuongeza Mauzo na Faida
Katika kitabu hiki kuna sura 15...
JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95
Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200...
Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu
KAMA UNAHITAJI.
Ramani
Hesabu ya ujenzi (BOQ)
Garden design
Fence na aina zake zote ninatengeneza.
Namba...
PONGEZI KWA MHE. SEIF KHAMIS GULAMALI, MBUNGE WA JIMBO LA MANONGA KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA SEKONDARI YA TAMBALALE MILIONI 800
Pongezi kwa Mhe. Seif Khamis Gulamali, Mbunge wa Jimbo la...
Heri za Sikukuu wana jamvi.
Mwaka ndio huo umekatika, presha imeanza kupanda na kushuka kwa kuukabili mwaka ujao.
Kwa upande wangu ninapla kuukabili mwaka ujao mapema iwezekavyo kwa kazi ya...
Wazee natafuta fundi ujenzi anayeweza kufanya kazi inayoeleweka sio kuja kuharibu kazi maana pesa inatumika nipo serious wazee anayeweza kazi aje pm kazi ipo dar
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa...
Habari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site.
Mfano kama nina...
Bado tunatoa huduma ya ujenzi kwa teams ya #mkopo nirahisi na nafuu sana #irbag company reg no 140-016-446 inatoa huduma za ujenzi tu kwa teams ya #mkopo tunajenga unaishi unalipa taratibu mpaka...
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye...
Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.