Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni...
Wataalam rangi za kampuni gani ni nzuri kwa kupaka nje ya nyumba? Rangi iwe nyeupe na ambayo haitaweka ukungu.
Pili, bei zake kwa ndoo ya litre 20 na wastani ina cover sqm ngapi?
MIRADI YA DHARURA IJENGWE KWA KASI NA UBORA - WAZIRI ULEGA.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kuhakikisha...
Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa...
Unaweza kutumia mfumo wa Slabs kuzunguka eneo lako lote ambalo limepandwa ukoka au kutengeneza njia za kwenye ukoka kutoka kwenye varanda ya nyumba yako ili KUPUNGUZA kiwango cha joto ndani na nje...
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na...
Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja.
Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI KM 18 KUKAMILIKA SEPTEMBA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Arusha Eng. Reginald Massawe kumsimamia...
ULEGA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA DARAJA LA TANGANYETI LILILOATHIRIWA NA EL- NINO
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemkabidhi Mkandarasi Jiangx Geo Engineering kazi ya ujenzi wa daraja la...
ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency...
SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025)
Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa...
Habari wataalam wa ujenzi?
Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao ambazo nitatumia kuezeka nyumba hii ya vyumba vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, stoo na choo cha public. Vipimo ni 11m...
ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa...
Habarini wakuu,
Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:-
1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa...
RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali...
RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.