Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini...
SHULE YA CCM MBEYA YAMUOMBA RAIS SAMIA TZS 40 MILIONI KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA
Uongozi wa Shule ya Sekondari Ivumwe, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili...
RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta...
Habari ndugu wana Jamii Forums,
Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni...
Binafsi nimejiwekea kukipa muda kila kitu; kuweka akiba ya maneno wakati mwingine ni muhimu sana. As far as I know; Israel and Iran they know each other. Iran haiidharau Israel kama sisi tunavyo...
Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu.
Katika tafakuri zangu za maisha nimepata...
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi...
Habarini wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye topic. Wakuu nina nyumba yangu ipo hatua ya finishing ina square meter 206. Nyumba iko Moshi.
Kwa vile sipo karibu nikamuomba fundi anipe makadirio...
WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI KUHARAKISHA UJENZI BARABARA YA KIGAMBONI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara katika wilaya ya Kigamboni kujionea maendeleo ya miradi ya...
Habari zenu.Mungu akijaalia nimepanga kabla huu mwaka haujaisha niwe na kiwanja naendelea kusave save huku nikiisubiri December nifanye jambo langu.
Sasa kinachonitatiza ninapataje kiwanja kizuri...
WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu...
WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA.
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa...
Wakuu
Mwenye Raman ya Ki gorofa naomba anitumie..
Ki gorofa flani hivi Cha kishkaji Low budget Kwa mm ninae jitafuta .. nimepanga 2025 nianze ujenzi lakini sio nyumba ya chini plan ni ki...
Wakuu habarini
Ninatatizao la ukuta wangu mara kwa mara unabanduka banduka rangi,
Kama picha inavyo iyona hapo, tatizo liliianza kwamba niliinunuwa nyumba tayari ishapigwa plasta, , nikaamua...
JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA
Habari wana Ujenzi! Watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadirio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo...
Habarini ndugu zangu,
Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter.
Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.