Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm...
WAZIRÎ ULEGA ATEMA CHECHE TANROADS
NA MWANDISHI WETU
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya...
Wakuu nimeona ni vyema nikashea na nyie kama kuna mtu atashawishika basi awekeze huko.
Hawa jamaa nimewaona mitandaoni na kwenye page ya salim kikeke, wana mradi wao mpya wa uuzaji wa viwanja...
Tuanze na faida kwanza
1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa...
Hello Wadau.
Nipo stage ya kupaua nyumba. Nyumba inadai bati 110, sasa ukigusa huku Alaf na kina Sunshare ni mkasi kweli kweli
Nina option mbili mkononi
1. Nipige bati za kawaida tu
2. Nipige...
MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025)
Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha.
Kipaumbele hicho ni: ELIMU...
Habari zenu wajenzi na mafundi wa humu Jf,
Naombeni msaada kutoka kwa anaejua shida yangu ni kujua Ukubwa gani unafaa kuwa ukubwa wa Chumba Master na pia chumba bila master kinapaswa kuwa na...
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi.
2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi...
Habari ya majukumu wakuu...
Hiki kifaa nilikiona katika moja ya nyumba za wageni,sikupata nafasi ya kuuliza na kufahamishwa.
Hivyo naomba mwenye ufahamu wa hiki kifaa anijuze
Natanguliza shukuran
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema.
Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika...
Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu?
Naomba kufahamishwa.
WANANCHI UYUI WATAKIWA KUITUMIA NA KUITUNZA ZAHANATI
Na WAF - Uyui, Tabora
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya...
Wakuu mikoa inatofautiana kwa vipato vya wakazi wake. Sina shaka kuhusu Dar linapokuja suala la mzunguko wa hela.
Tupeane abc za mikoa yenye vipato vilivyosimama (ukiondoa Dar) na kuna hela nzuri...
Tumeandaa design hii ya lodge (guest House) ambayo mchanganuo wake up hapa chini
--> Wageni Wamekuwa Wengi, Anzisha Biashara na Uwekezaji wa Lodge (Vyumba 16 self) [emoji383]
Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.