MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed...
WAZIRI ULEGA AKAGUA MIRADI YA BRT, AAGIZA KAZI IFANYIKE USIKU NA MCHANA.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi, Mhandisi, Aisha Amour kuwasimamia...
Wadau wa ujenzi hasa mafundi na mainjinia wa ujenzi huyu jamaa ktk kupiga ripu kaanza na wire meshi eti inazuia nyumba kuchanika (nyufa). Je hiki kitu ni kweli na nisahihi kufanya hivi.
Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi
Stratergical way ya ku-win financial problem...
Habari ndugu zangu wa JF,
Uzi maalum wa picha aina mbali mbali za vyoo kitchen sink majakuzi vyoo mabeseni bath..Pia material mapya yanayo ingia sokoni aina mbali mbali za cock n.k
Pia unaweza...
Wakuu kama kichwa Cha habari kinavyosema ni sahihi kujenga juu ya beacon ya halmashauribiliyowekwa Kwa ajili ya barabara ya mtaa maana Kuna jirani yangu anajenga hivi maana naona kama anatafuta...
Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana.
Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi...
Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora.
Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga...
UHURU NA KAZI: UANZISHWAJI WA "MTIRO HIGH SCHOOL" KIJIJINI BUSEKERA
Jimbo la Musoma Vijijini limeamua kuongeza idadi ya "High Schools" hasa za masomo ya sayansi kwa kujenga na kuboresha...
Wakuu nisiwachoshe naomba nijikite kwenye mada.
Nina kibanda changu Cha vyumba vinne kimoji ni self, public toilet, sebule, dinning, jiko na stoo na Niko kwenye hatua ya finishing.
Naomba nipate...
Nani kwaeka mfumo huu wanasema WA kisasa WA shimo la Choo? Nimeona gharama NI nzuri sio kubwa kulinganisha na kuchimba lile la kizamani la kujenga na vipande vya tofali.
Je mfumo huu mpya Una...
Habari Zenu Wakuu, Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta marine board used ili.
Niweze nunua nikajengee ukuta kwa zege kwenye kibanda changu. Site iko Goba Karibia na Joys Eslava. Many...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewatoa hofu Waheshimiwa Wabunge kuhusu mpango wa Serikali wa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa utaratibu wa uhandisi...
📖MHADHARA WA 16:
Baada ya kununua kiwanja......
Ukibahatika tena kupata vihela kidogo ni bora kuanza kujenga CHUMBA + SEBULE + CHOO. Kama hela zako ni za msimu au hela za kulenga kwa manati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.