MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu...
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya...
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko...
JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa...
Habari wakuu,
Mungu akipenda, mwakani natamani kuanza ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja. Mpaka sasa, nimefanya michoro yote, architectural na structural designs.
Naomba ushauri kwa watu wenye...
Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake...
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
Uzoefu wenu na aina...
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;
Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko =...
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba...
Habarini Wana Jf na wajenzi wa humu
Kama kichwa kinavyo sema nina eneo dogo tu ft 50*40 lenye ardhi ya mchanga mweupe kama ule wa kujengea .
Wazo langu ni kujenga vyumba vitatu ,sebure,jiko na...
Naomba mnijuze wanajf na wataalamu wa ujenzi!Mimi kwenye eneo hili sielewi chochote hasa ni kwa kuwa wengine tulizaliwa enzi zile za kutumia silingi bodi!Ninaomna mnielimishe boards nzuri kwa...
Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi?
Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000.
Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii...
Habari zenu jamani,
Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
Katika nyumba;
1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja?
2. Nini suluhisho lake?
Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
Unaweza kuongeza vyumba vya kulala vikawa viwili na kufanya mpangilio wa ladha yako.
Choo unaweza kukiweka sehemu ya pantry na sehemu ya choo kuwa chumba cha pili.
Swali kama lilivyo kwenye subject.
Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass.
Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site.
Naweza kuzipata wapi Dar?
SMZ IMEDHAMIRIA KUJENGA MAKAAZI BORA KWA WANANCHI-RAIS MWINYI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba...
Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.