Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla...
Habari zenu wakuu,
Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza...
Assume
1. kiwanja kipo
2. Bati migongo midogo za rangi.
3. Madirisha.matano ya wastani
4. Vyumba 3 vitatu vya kulala moja master dining na sebule.
Karibu kwa ushauri
Moja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo...
Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu.
Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati.
Afanyeje ili isivuje?
N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili...
Habari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha.
Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na...
Nimekuwa mhanga kwenye hayo mazingira, baada ya kufanya 'wiring' na umeme kuungwa kwenye jengo, ili ujenzi wa kumalizia (finishing) uende vizuri; wakatokea wahuni wakakata nondo za dirisha na...
Ilinde gari yako kwa kuipark sehemu salama pia hizi car parking shades huleta muonekano mpya wa nyumba yako au ofisi yako tupigie kwa namba 0687897026/0767583628
Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo.
Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza.
Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na...
Wakubwa,
Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza.
Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi.
Nawaza...
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni...
Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji.
Wataalam tusaidiane hapo nitumie...
DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI
"Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM...
Nyumba ya 9m x 8m. Bati ya migongo mipana, vyumba 2 vya kulala, finishing ya mtanzania wa kawaida inaweza gharimu wastani wa kiasi gani kujenga?
Karibuni wakuu, maeneo ni kanda ya ziwa
Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha,
Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa...
Habari members,
Naomba kufahamu kias Cha material ya kufunika choo (slab),. Nilishachimba SHIMO la square Kwa vipimo vya futi 5 Kwa 5 na kimo ni futi 12. Hapa naomba kujua nondo ni ngapi, kokoto...
Habari zenu wana JF,
nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge (guest house) ya vyumba 20 vyote self...
SEBASTIAN KAPUFI ATAKA KASI IONGEZEKE UJENZI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI MPANDA
"Je, Serikali inasema nini kuhusu kasi ndogo ya mradi wa Umwagiliaji Kata ya Mwamkulu Mpanda" - Mhe. Sebastian Simon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.