MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE
Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na...
Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake.
Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu...
Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya...
Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine!
Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile...
Sebure+dining ndogo ila effective
Open kitchen kibongo bongo inawezekana kweli??😂
Wazee wa nch 75
Kitchen murua kabisa ila kwa ajili ya space kubwa
Kitchen outset kwa ajili ya space...
Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala...
Wakuu habari
Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store
Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi
Location Mbeya mjini
BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA.
“Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi”
Waziri wa Ujenzi...
SERIKALI KUUNDA TIMU MAALUM KUSIMAMIA UREJESHAJI HUDUMA ZA USAFIRI WA VIVUKO MAFIA - PWANI
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining...
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu.
Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar...
Habari za muda huu wana JF.
Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na ukarabati wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Utete, Rufiji inayogharimu Shilingi Milioni 900 ikiwa ni dhamira ya Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.