Naomba kusaidiwa
Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za...
Nataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25.
Ina yafuatayo
√ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI.
√ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa
√ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles.
√ Ina vyumba viwili...
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi...
Wajumbe wa bodi ya Tanzania Red Cross Society wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Mh David Kihenzile wameonesha kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba 35 katika wilaya ya Hanang, mkoani...
MALIMA AWATAKA WAKADIRIAJI MAJENZI KUJITANGAZA
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Taasisi ya Wakadiriaji Majenzi Tanzania (TIQS) kutokaa kimya bali ijitangaze Serikalini na katika...
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
Wataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya...
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka...
Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo.
Kuongeza kipato...
Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate...
Habari wana JF.
Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi...
Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara...
WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA
Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa...
GEITA YATIKISA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
● Wananchi wamshukuru Rais , Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza miradi
●Miradi ya maendeleo yatekelezwa kwa asilimia 90
⚫️ Wilaya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha...
BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA
Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea...
MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.