Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya...
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea...
Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia.
Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita...
KAMPENI YA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA KATA ZA MUSOMA VIJIJINI
Ukubwa wa Jimbo la Musoma Vijijini
Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374
Idadi ya Shule za...
Habari wanaJamiiForums
Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
VITUO VYA AFYA VITANO VIPYA VYAJENGWA WILAYA YA HAI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa...
Wakuu habari zenu naomba muongozo nataka nifanye ujenzi ambao nitatia thermal insulation ili kupunguza joto la dar je vifaa hivi nitapata wapi na fundi wenye uzoefu na cavity wall
Wadau, mie nina kaujenzi kanakokadiria kutumia mifuko 50 Hadi 100. Kununua rejareja naona inaniumiza. Ningependa kujua je inawezekana kununua cement kwa Bei ya jumla kutoka kiwandani ili nipate...
Wakuu shikamoni,
Paa la nyumba yangu limeliwa vibaya na wadudu ambao siwafahamu, siyo mchwa, wako kama mende weusi wembamba kidogo kwa mende, wanapokuwa kwenye mbao wanakuwa viwavi (caterpilar)...
Wakuu nataka ni jaribu jenga nyumba nitakayo TIA thermal insulation maana dar joto kali je vifaa hivyo nitapata wapi na mafundi wenye uzoefu na hii aina ya ujenzi
Habari wakuu,
Leo tujadili, kati ya Tangastone za kisasa na marumaru za urembo unapendelea kuweka kipi katika sehemu za nje ya nyumba yako? mfano kwenye msingi, na kama unapendelea tangastone au...
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port...
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani...
Leo, Jumanne, 1.10.2024, Mhe George Simbachawene, Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ameweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya...
NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA
Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya...
JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya...
BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA
Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji...
KIHENZILE SEKONDARI YA KATA YAZINDULIWA, MUFINDI - IRINGA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amezindua Shule ya Kata ya Sekondari Kihenzile iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.