Nina swali dogo wataalamu! Kuna plot moja nilinunua miaka kadhaa iliyopita na nikabadilisha title. Ila kila mwaka nikilipia land rent jina bado linaonekana na mmiliki wa zamani, mara nyingi huwa...
Huu Ni utafiti mdg niloufanya ktk sekta nzima ya ujenzi wa nyumba, hasa za makazi
Kuna kitu wengi hatukijui au Kama tunakijua, Basi hatujawai kukaa na kukizingatia Sana.
Kiuhalisia gharama ya...
Naulizia kibali cha kujenga, ukiwa na cheti level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila engineer?
Kama ndiyo, nawezaje kupata kibali?
Naomba msaada wakuu
MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
DODOMA
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi...
HUDUMA ZA AFYA MUSOMA VIJIJINI: ZAHANATI MPYA 17 ZINAENDELEA KUJENGWA
Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini, lenye Kata 21 zenye vijiji 68, zinaendelea kuboreshwa kwa ushirikiano mzuri...
Wadau naomba kujua gharama ya kuniletea Mchanga wa Kibahaa Lori 1 na Kokoto toka Lugoba.. Nipo maeneo ya Kibamba.. Hapa kwenye kokoto sijaamua bado kama ninunue Kokoto za kwenye Semi au Mende...
Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
Samahani wakuu,
Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji...
UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P...
Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya...
SERIKALI KUJENGA UPYA DARAJA LA MBWEMKURU NA NAKIU, LINDI
Serikali imesema inatarajia kujenga daraja lenye urefu wa mita 100 eneo la Mto Mbwemkuru lililopo mpakani mwa wilaya ya Ruangwa na Kilwa...
UJENZI WA SEKONDARI MPYA 12: FAMILIA MOJA YAJITOLEA KUCHANGIA TSH MILIONI 30
Wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini wanaendelea kushirikiana vizuri sana na Serikali yetu kwenye miradi ya ujenzi wa...
Naitwa Salehe nimemaliza elimu ya Bachelor of Engineering in Civil 2024 (DIT). Pia ni Civil Technician mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu katika kazi za ujenzi hususan ni Majengo. Kwa yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.