Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Kati ya hayo maeneo mawili wapi ni pazuri zaidi kumiliki kiwanja cha makazi ukumbuke kiluvya ni mwanzoni kabla hujafika kibaha ukiwa unatoka Dar es Salaam...
Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Niliweka nadhiri kwamba kabla ya kufikisha miaka 35 hapa duniani lazima niwe nimejenga nyumba yangu na nimehamia kwangu, ndoto hii imetimia tarehe 23/2 nimehamia kwangu na kila nikiamka asubuhi...
Nitajuaje kama nyumba ninayotaka kununua ina migogoro? Nitajuaje kama labda nyumba ina mkopo bank?, nitajuaje kama kiwanja kipo na migogoro?
Na mshikaji wangu ana budget ya million 25 anataka...
UVCCM YAGAWA SIMU 20,KADI ZA CCM 8,000 NA UVCCM 1,000 KUZIDI KUIMARISHA USAJILI WA WANACHAMA KIELEKTRONIK, MKOA WA LINDI
Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM ndugu Mohammed Ali...
Ghawizah,
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo.
♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning.
♤ Iwe na public toilet.
♤...
Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)?
Napitia comments kwa maoni, ushauri na...
Natumai mko poa....
Wandugu mnisaidie ktk Moja na mbili kibishi Kuna eneo likubwa tu nikalipata ...likanikwangua ....ila lenyewe thamani si inapanda....hainiumizi
Ni karibu ekari Moja na robo hivi...
"Maendeleo ya China katika miundombinu ni ya hali ya juu ni zaidi ya mara 100 ya Marekani."
–Elon Musk
Elon Musk aliposema hivyo hakutia chumvi ni uhalisi.
Kihistoria tangu zamani Wachina wako...
Kama somo linavyojielewa hapo juu
Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill)...
MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe...
Habari wadau
Nataka kuweka tank juu la 3000 lita liingize maji ndani sababu maji ys dawasa hayaeleweki yaani kutoka siku tatu mfululizo ni bahati kwahyo ikitokea hakuna ni mwendo wa kutoka na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.