Habari wana bodi!
Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.
Eneo: 40m x 20m = 800sqm
Ninatanguliza shukrani.
Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint.
Hizi ni rangi za kituruki
-Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita...
Habari! Nina wasalimu kwa unyenyekevu mkubwa
Recreational pond ni aina mpya ya bwawa yanayofanana na mabwawa ya asili ambayo yanaweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kuogelea...
Habari wanaJF,
Ningependa kushiriki nanyi mambo machache kuhusu ujenzi kwa wale wanaoendelea na ujenzi, au wanaotarajia kufanya hivyo siku chache zijazo.
1. YAPASWAYO KUFANYIKA KABLA YA KUANZA...
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu...
RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya...
TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi...
Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami...
MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji...
SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa...
Habari!! Naitwa Salehe nipo Dar, ni muhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil kutoka DIT (2024).
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kama Civil Technician (Kuanzia 2018). Pia nimefanya kazi...
Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.
Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA
Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya...
Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1...
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea...
Leo Bon yai kakwama kufikishwa mahakamani kisa
Jeshi la magereza halina gari ya kumfikisha mahakamani
Kwa Nini zile fedha zinazotolewa kwa timu ya Simba na yanga zisitumike kununua magari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.