BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA.
📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma
📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya...
Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba...
Msaada wa kimawazo
Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi.
Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri.
1. Bei za viwanja
2. Huduma za kijamii
3. Usalama
4. Wapi ni potential...
Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane...
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri...
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza...
Wanavijiji wa Jimbo la Musoma Vijijini wanaendelea kushirikiana vizuri na Serikali yetu kujenga maabara za masomo ya sayansi kwenye sekondari zao za kata.
Malengo makuu ya ujenzi huo ni:
(i)...
ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024
Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa...
Ndugu wanabodi.
Kuna utitiri wa uuzaji wa viwanja vidogo sana kwa bei inayoanzia laki nane mpaka milions kadhaa.
Nikipiga hesabu futi 50 kwa 40 hapo utajenga nini. Au tunaenda kutengeneza...
Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana.
Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha...
Habari zenu wana JF.
Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni...
Salamu kwenu wakuu
Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge.
Ombi...
Tafadhali naomba mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi wa nyumba za makazi.
Ninataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu vyenye sitting, dinning, store na kitchen pamoja na public toilets...
Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.