List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha
Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja...
Hivi nini kinapelekea bei za kodi za nyumba dar es salaam kupanda sana na ghafla? Yani vipato havipandi ila bei za kodi za nyumba ni ghali sana na mnoo serikali inabidi iliangalie ili suala na...
NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA
*Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5
*Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi...
Hata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia...
MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI
Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa...
ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema...
Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress
Kujua makadirio Ujenzi inakusudia
kujua unahitaji nguvu kiasi gani
kujua gharama...
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi
Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen...
Yaani nimefanikiwa kujenga nyumba tena kubwa ila sijahamia bado vitu vichache nihamie, lakini kinachoniuma kipindi napaua (kupiga bati)niliaminishwa kuwa bati za kampuni fulani (hapa siitaji jina)...
Nimesoma thread kutoka 2016 ila zote sijapata jibu kwakua baadhi ya michango imekataliwa kua haifanyi kazi,
Naomba kama mtu alifanikiwa kuondoa hawa wadudu wala mbao ambazo tayari zimeshapigwa...
Wadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material...
Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora
Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba...
JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi...
WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni...
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi...
Tafuta michoro ya jengo iliyo complete check me nikufanyie quantification (material schedule) utajua msingi pekee utahitaj total shngapi, Boma mpaka roof Tsh ngapi,, materials itself like cements...
Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.