Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
53 Reactions
1K Replies
79K Views
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye Ununuzi wa ardhi/kiwanja Mafundi wa kila idara Makisio ya vifaa, ufundi Muda sahihi wa...
24 Reactions
182 Replies
4K Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
24 Reactions
194 Replies
17K Views
KAMATI YA BUNGE YAELEKEZA UJENZI WA SHULE MPYA ZA MULEBA ZIKAMILIKE APRILI, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeuagiza uongozi wa Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera, kuhakikisha ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
12 Reactions
399 Replies
2K Views
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA, SIMIYU Na WAF-Simiyu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mhe. Hassan Mtenga, amepongeza juhudi za Rais Dkt...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
13 Reactions
335 Replies
3K Views
Heri ya mwezi mpya, Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi. Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi...
3 Reactions
79 Replies
20K Views
Habari wana JF Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar. Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu Nikikumbuka enzi za collection ya...
5 Reactions
55 Replies
537 Views
Unaweza kuiga uhandisi huu
35 Reactions
537 Replies
6K Views
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu...
9 Reactions
471 Replies
2K Views
Eti wakuu? Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali. Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
6 Reactions
31 Replies
528 Views
Hello! Kama kichwa cha habari kinavyosema.
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Habari wadau, naomba msaada wenu kwa kitu kinachonichanganya kidogo. Nyumbani kwangu sijamaliza ujenzi so kwa suala la choo na bafu familia nzima tunatumia kile cha public. Hiki cha masters tayari...
0 Reactions
4 Replies
269 Views
Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena Kwa malighafi zilizopo na...
6 Reactions
142 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…