Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Nyumba nyingi za Ulaya na Marekani hujengwa kwa mtindo huu, na wakishafunika juu yake kwa makaratasi na maplastic inaonekana bomba sana kumbe ni mbao tu na hata sakafu imesakafishwa kwa mbao...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!! Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Jamani wadau naombeni ramani za nyumba nzuri anisaidie au kama unajua website yenye nazo itafaa pia. Asanteni kwa ushirikiano.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Guys, I would like to know approximately how much does it cost to build a building in Dar lets say 20 floors. Will appreciate all the answers
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAKUU HABARI ZENU ebwana nilikuwa najaribu kuangalia picha za hii nyumba inayopatikana hapa palo alto calofonia but nikawa nafikiria hii nyumba japokuwa ni kind expensive huku kibongo bongo kama...
1 Reactions
18 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamvini, kwanza kabisa nimezunguka kutafuta viwanja kila sehemu bei juu yaani kila kitu siku hizi kimepanda, msadaa wa kwanza nataka kununua kiwanja nielekezeni ni mitaa ya wapi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau na wakuu wa jamvini ninaomba msaada wa copy ya hiyo software yenye key na malipo ni maelewano. Email yangu ni lijonjo@hotmail.com
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani tafadhali naomba msaada wa software za mambo ya civili engineering hasa mambo ya ku design water structure kama mabwawa,water supply kuna moja inaitwa watergerm nani anayo?
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Shirikisho la Mashirika na vyama vinavyotetea masuala ya Makazi Tanzania (HAFOTA) wamesema wanaandaa mpango wa kuzibana benki kubwa kupunguza riba na kuongeza muda wa marejesho mpaka miaka 15...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ujenzi wa nyumba kwa siku moja wazinduliwa. Na Peter Mwenda: Majira TATIZO sugu la ukosefu wa makazi nchini limepata ufumbuzi baada ya kampuni ya Moladi Framework ya Afrika Kusini kuzindua...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
By David Stephenson Published by Elsevier Scientific Pub. Co., 1976 Original from the University of Michigan ISBN 0444414177, 9780444414175 222 pages NOTE: Picture above shows newer, 3rd...
0 Reactions
10 Replies
536 Views
Baada ya kukaa ughaibuni kwa muda mrefu nikawaza kujenga kibanda changu huko mbweni hivyo nikaomba ushauri kutoka kwa ndugu na jamaa.Vitu vingi nikiuliza naambiwa ni vya kutoka South Africa,mabati...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jamanieee, samahanini, pamoja na kwamba nitakuwa naiba haki miliki ya watu, naombeni kama kuna mtu mwenye ramani za kujenga nyumba, yaani design za nyumba, muwe mnatuwekea hapa tuweze kudownload...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…