Kwanza kabisa anza na kuchimba na kujengea mashimo ya choo. Hii itasaidia ule udongo au mawe uyajaze ndani ya msingi wa nyumba na kama ni sehemu ya mchanga basi utatumia ule mchanga kufyatulia...
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi kote nchini.
Hayo yalisemwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Josephat...
NHC wana mradi mzuri wa ujenzi wa nyumba. Hivi kwanini wasingejenga ghorofa (condominiums) badala ya nyumba za kawaida (za chini) ambazo zinakula maeneo ya ardhi kuliko ghorofa ambaz0 ujenzi wake...
Wadau namalizia ujenzi wa kibanda changu na sasa nipo kwenye ujenz wa fensi ya tofali. Napata kigugumizi nijenge fensi ya namna gani kati ya ile yenye kuta ndefu kwenda juu kiasi mtu wa nje haoni...
Mim ni graduate na Sina uzoefu wa hiyo biashara, lakini ndo biashara niliyo amua niifanye, naomba ushauri kwa wenye uzoefu nayo na kwa kua mtaji wangu ni mdogo.
Naomba ushauri nianze na vitu...
Wasalaam wana JF,
Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha.
Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae.
Upana wa nyumba ni kama mita 10 na...
Mi nikijana ambaye nahitaji kujenga ila nataka kujenga nyumba nzuri kidogo ambayo ikotofauti na jirani zangu Kwa wale mafundi cement mifuko mingapi inaitajika hapo juu vyumba 2 na sebule chini...
Habari za mchana wadau,
Kama mnavyojua vijana siku hizi tunachakarika ili tuweze kukaa kwenye nyumba zetu, ila sijaona uzi unaozungumzia ujenzi wa nyuma, watu kupeana ideas mbalimbali za...
Nahitaji kujenga nyumba kwa sasa,idadi ya vyumba ni vinne, jiko, store, public toilet,vyote ndani kwa ndani" msaada unahitajika hapa
1:kwa makadirio ya jumla niandae tsh. ngapi mpaka nyumba...
wanajf sikuhizi maeneo mbalimbali nchini viwanja vinauzwa si tena kama zamani unapata shamba, nusu heka etc, kiwanja hiki kinaukubwa wa mita 15 kwa mita 20, wataalamu wa ujenzi, niambieni hiki...
kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia wakandarasi wa mabarabara sehemu mbalimbali, nikagundua kuwa wengi wao baada ya kumaliza shughuli za ujenzi wa barabara walizopewa, vifaa vungi kama makatapira...
Members nina kiasi cha Tshs.milioni hamsini je ninaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne ikaisha? Naomba ushauri kutoka kwa wale ambao wameshajenga nyumba. Na kama hujajenga basi unafahamu usisite...
Sekta ya ujenzi wa nyumba imezidi kupata ahueni baada ya Benki ya CRDB kuzindua mkopo maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba uitwao Jijenge, utakaokuwa mfumbuzi wa tatizo la changamoto...
Habari wana JF, jana usiku kibaka kabenjua luva za madirisha nyumbani kwangu na kufanikiwa kuondoka na simu HTC ya wife! Kotokana na tukio hili imenibidi long term plan yangu ya kujenga uzio iwe...
Habari wa JF , naomba msaada wa kimawazo na ushauri, Nina Mil.10 ninaplan ya kujenga nyumba yenye vyumba 3,
Je kwa hiyo pesa nyumba yangu itaishia wapi?
Kwa wenye uzoefu wa mambo ya ujenzi...
Heshima kwenu wakuu,
Mwanajamvi anayekwenda kwa jina ritz alituhabarisha juu ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa kitongoji cha Kaloleni.
Mradi wa ujenzi Kaloleni umekaa kifisadi zipo sababu...
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA...
Habari wanajamii ninaduka la vifaa vya ujenzi hapa Dar maeneo ya kitunda mtaji wangu mdogo nahitaji mtu anayeuza vifaa vya ujenzi kwa bei ya jumla anisaidie vifaa kama Rangi, vifaa vya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.