Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wadau habari zenu. Naomba kuuliza kwa mwenye kujua ama kama amepata fununu toka juu. Je, kuna dalili zozote za gharama za vifaa vya ujenzi kwa ujumla wake, kushuka kwenye bajeti ijayo? kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nina kiwanja changu kule buyuni sasa nilikuwa nafikriia kujeanga nyumba ya matofali ya kuchoma. Kuna mwenye wazo wapi maeneo ya karibu naweza kuyapata matofali hayo (sio Morogoro) na...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Wadau, mafundi ujenzi, ninaomba msaada, ninayo ardhi kubwa sana, ila nimechoka kupanga na headaches za landlord. Nimejibana nikakuta nina milioni 6, je ninaweza kujenga ka nyumba kadogo kenye...
5 Reactions
92 Replies
27K Views
Wakuu nimeamua kujenga, Mjini hakuna baba/mama mwenye gari ila baba/mama mwenye nyumba. Naomba ushauri juu ya mbinu na njia zote za kubana matumizi kuanzia hatua za kwanza za ujenzi hadi za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ni Ahadi Ambayo Uliitoa Katika Kampeni Zako Mh Miwa. Kiu Kweli Wananchi WanaShindwa Kumudu Gharama za Vifaa Vya Ujenzi. Nakupelekea Watu Wengi Kuwa Watumwa wa Wenye Nyumba, na Wengine Kujenga...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Habari wakuu, naomba kujuzwa Kwa anayefahamu mahala/ kampuni ibayokopesha vifaa vya ujenzi na utaratibu wa malipo, naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikua napita pita nikakuta hii material ya Mega Panels . hii material na technology mpya ya ujenzi kwa kutumia insulted panels apa Tanzania ndo imeaza kutumika na kuuzwa. Hizi insulted panels...
2 Reactions
34 Replies
25K Views
Habari zenu ndugu, Naomba kuuliza kwa mtu mwenye uzoefu na masuala ya ujenzi kwa hapa Dar es Salaam au hata sehemu nyingine za nchi hii. Kwa mtu aliyenunua "shamba" kwa kuuziana na mtu kupitia...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Kwa yeyote aliye kwenye shughuli za ujenzi au ana mpango wa kujenga na bado hajapata supplier wa uhakika kwa ajili ya kumsambazia vifaa vya ujenzi kuanzia msingi hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kampuni valid ya ujenzi, natafuta mtu mwenye vifaa kama grader. Kazi si tatizo, mimi ni mhandisi niko kwenye hii field. Call 0712660713 for more information.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana Jamii, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa maono ya kutaka kujenga nyumba kwa ajili ya familia yangu. Nimekutana na threads mbili tatu kuhusu ujenzi, lakni nimeona sio haba kuomba ushauri...
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika. Samahani kwa usumbufu
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wadau wa mji kasoro bahari, Nahitaji mirunda, na mbao za kukodishwa kwa ajili ya lenta na kenopi, mjini Moro, lengo la kufanya hivi ni kutokana na nikinunua baada ya ujenzi sitakua na sehemu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau Kuna nyumba eneo la magomeni, Dar es salaam anahitajika muwekazaji wa ujenzi aidha wa jengo la kibiashara/makazi nk. Au wapi panapatika wawekezaji na taratibu zikoje. Ni hayo wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nafikiria kuwa nitakadriaje matofali na cement pamoja na kiasi cha mchanga wa kujenga nyumba. Najua kuwa nyumba inaweza kuwa ya vyumba kadhaa na bafu na choo ndani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heri ya Mwaka mpya. Naomba ushauri, je kwa maksio nyumba ya vumba vitatu,jiko na sitting room ukiwa umetumia Tiles,Gypsum na badi hiz ngumu zinazofanana na vigae inaweza kughalimu sh ngapi kwa...
0 Reactions
24 Replies
26K Views
Mpango wa miradi ya ujenzi wa nyumba za kupangisha za gharama nafuu ni vema zikawa ambazo wengi wanaweza kumudu kupanga na ghama wanayoweza kumudu wenye kipato cha kawaida. Binafsi naona nyumba...
3 Reactions
13 Replies
23K Views
Kumbe hakuna linaloshindikana iwapo tu rais akiwakunjia sura watendaji wake na kuonesha ukali. Tumeona viongozi kuanzia ngazi ya wizara, mkoa,wilaya mpaka kata kote nchini wakihaha huku na huku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua benki zinazotoa mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na masharti yake tafadhali nijulishe
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Blocks zenye mfereji katikati (grove) kwa rinta nyumba ya kawaida ya kifamilia Katika ujenzi wa nyumba za kawaida za kifamilia tumekuwa na kasumba ya kuingia gharama kubwa za ujenzi kwa kutumia...
4 Reactions
9 Replies
9K Views
Back
Top Bottom