Habari za jioni wakuu ,
Nafikilia kufany biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi (Hardware),Je nahitajika kuwa na mtaji wa kuanzia shilingi ngapi ili niweze kuanzisha hii biashara?
Habari za sasa hivi,
Nauliza ukitaka kujenga nyumba kubwa ya vyumba kama 6 ila vitatu ni masters, na dining na public toilet, jiko pamoja na sitting room. Pia nje kuwe na sehemu ya magari.
Kwa...
Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme.
Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr Ashatu Kijaji amesema Serikali haiwezi kuondoa kodi ya VAT kwenye vifaa vya ujenzi kwa sababu ni vigumu kujua nani anajenga kibiashara na nani anajenga makazi...
Kutokana na uchumi wa wananchi kubana, biashara ya vifaa vya ujenzi wa nyumba imepungua huku vile vya ukandarasi wa miradi mikubwa ikiongezeka zaidi ya mara dufu.
Hayo yamebainishwa na meneja...
Jamani ninahitaji mkopo usiokuwa na ubabaishaji Kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yangu,ni mfanyakaz wa sekta za kitalii
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ili uwe na nyumba nzuri unatakiwa kuwa na ramani iliyodesginiwa vizuri na ya tofauti na kipekee na inabidi isimamiwe vizuri wakati wa ujenzi
kwa ushauri wa maswala ya ujenzi na ramani za nyumba...
Habari wakuu
naombeni msaada ninataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi(HARDWARE) ila tatizio ni kwamba mimi siyo mzoefu wa hii biashara naombeni list ya vitu muhimu vinavyotakiwa viwepo na sehemu...
Maabara iwe na uwezo wa kupima mchanyiko wa Udongo wenye sifa zifuatazo kama inavyoonekana kwenye attachment.
Udongo huu ni kwaajili ya kutengenezea Tofali za kuchoma.
Serikali imetoa miezi mitatu kwa shirika la nyumba la taifa NHC kuwa limekamalisha miradi yote ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi kwa gharama nafuu hatua ambayo...
Kutoka kushoto ni Ibrahim Samuel- Meneja Uhusiano- Mikopo ya Nyumba, Wasia Mushi- Naibu Mkurugenzi Benki ya Afrika Tanzania (BOA), na Muganyizi Bisheko- Meneja Masoko Utafiti na Maendeleo...
Ama kweli hali ni tete, leo katika harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba yetu ya ibada hali imekuwa tete.
tumeanza na Kuku Jogoo mkubwa tukitegemea ushindani uwe mkubwa kama tulivyozoea...
Aslaaam Aleykum waungwana. Mimi nina mpango wa kununua huku ughaibuni vifaa vya ujenzi kama bati, nondo sementi. Je kodi za ke na ushuru wa forodha unakuwaje?
Naenda kwenye mada moja kwa moja!Kufuatia tetemeko la ardhi lilitokea kanda ya ziwa na kuleta madhara makubwa ikiwemo kubomoka kwa nyuma na baadhi kupoteza maisha nimebaini yafuatayo
1.Ujenzi wa...
Inashangaza sana kuona bei ya Cementi na bati za kuezeka bei yake ni juu
wanyonge Tanzania wanaishi nyumba mbovu sana..
Tunaomba Rais asikie kilio cha wanyonge, review Cementi prices
Mojawapo...
Hbr ndugu zangu poleni na majukumu.
Mimi ninaomba kwa wale wazoefu wa ujenzi , Nina mpango kujenga nyumba ndogo ya kuanzia maisha yaani nataka kuoa.
Nyumba yenyew ya vyumba vitatu kimoja master...
Katika Ahadi za Rais Wetu mpendwa JPM, ahadi zipi zimetekelezwa..
Ahadi ambayo ilipewa msukumo mkubwa kuwa ingetekelezwa ni punguzo la Vifaa vya ujenzi
Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Shinyanga ni...
Nakukumbusha mh rais, moja ya ahadi zako kubwa ulizotoa wakati wa kampeni ni kutupunguzia bei ya vifaa vya ujenzi ili sisi masikini tunaoishi kama mashetani tuweze kujitengenezea vibanda vyetu...
Wakati wa kampeni rais magufuli alisema kwamba yeye hataondoa Nyumba za nyasi kwa wakati mmoja bali atapunguza bei ya vifaa vya ujenzi kama simenti na bati
Katika bajeti ya waziri wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.