Wananchi wote wa Dar Es Salaam na Vitongoji vya jirani, Wanaalikwa kwenye tamasha la ujenzi litakalofanyika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe tarehe 31 Mwezi huu wa Tatu 2018. N keshokutwa siku...
Habar wadah uzi huu ni kwa wajuzi na mafundi wa ujenzi wa nyumba,
Mimi nmefanikiwa kujenga kabanda kangu ka vyumba SITA natamani kabanda kangu haka nikaezeke kwa VIGAE naomba kujua kwa vyumba...
Salam.
Kwa wale wanao ishi Kyela kwa sasa, naomba kujua mahesabu madogo kuhusu ujenzi wa nyumba wilayani hapo kwa mtu mwenye kiwanja tayari.
1. Nyumba ya vyumba 5 yenye vyoo ndani kwa ndani...
Tunakukaribisha Kwa Dhati Kuja Kwetu Tukufanyie Ubunifu Wa Nyumba Yako Kuanzia Ramani, Ubunifu Wa Muonekano Wa Nje Hadi Ndani
Unaweza Kujiuliza Kwanini Uamue Sisi Tukufanyie Ubunifu? Jibu ni...
Wanajamvi habari zenu wakubwa.
Naomba msaada wa raman ya nyumba yaan mchoro ambao utakuwa umeonesha master,sitting,deaning,vyumba 2 vya kulala iwe na public moja.
Naomba kuwasilisha msaada
Najua...
Taasisi nyingi za fedha zikiwepe benki hazitoi "grace period" hasa kwa wakopaji wadogo kwa shughuli za ujenzi wa nyumba za biashara mfano kupangisha kwa ajili ya malazi. Kiwanja ninacho...
Habar zenu wadau wa GT.
Nina milion 3 nipo Morogoro nampango wakujenga nyumba nzuri ya kisasa ila kwa taratibu.
Nyumba hiyo naomba Raman nzuri kwa mwenye nayo.
Idea niliyonayo ni kujenga Msingi wa...
Serikali itusaidie sisi wananchi wa kipato cha chini tunapoelekea tunashindwa hata kujenga, bei za vifaa vya ujenzi inapaa kila uchao, yaani leo hii bei ya mfuko wa cement ni elfu 17 hapa kibaha...
Cement kwa sasa haikamatiki na inaendelea kuapanda bei tuko busy kuangalia kuungwa mkono za juhudi za wanaohama vyama ila hata vyombo vya habari "front fade" zimejaa umbea ila maisha ya watu wako...
Napenda wataalamu watupe ushauri ili kuondoa woga wa watu kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa
Moja,gharama kubwa ziko hatua gani,mahitaji muhimu ni nini,na kuna vibali aina gani vinatakiwa,
Na...
Habari zenu wadau wenzangu...kwa wale wazoefu na wanaojuwa naomba kujuzwa juu ya mtaji kias gani cha chini mtu aweze kufungua super market au hard ware..inahitajika shiling ngap?
.je mtaji...
Kwa ufupi
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi pamoja na wananchi waliohojiwa umeonyesha kupanda kwa bei ya saruji na vifaa vingine vya ujenzi kama mabati na nondo, hali inayoongeza gharama za...
Nimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu
Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/=
Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/=
Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni...
Kupitia mtandao wa twitter kuna madai ya kupanda kwa vifaa vya ujenzi: Cement,nondo,bati, n.k.
Madai haya yanatokana na swali alilouliza Zitto juu ya bei hizo kupanda ambapo baadhi ya watu...
Bei ya cement tulinunua kwa Tsh 10000/=@bags hadi dec mwaka 2017, nashitushwa sahivi imefikia 13500/= hadi 14000/= KURIKONI?
Bei ya nondo size 12mm tulinunua Kwa 13000/Pc 40ft sahivi imefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.