Wakubwa, habari zenu!
Ninaomba kuuliza. Mimi nina mradi wa ujenzi wa nyumba. Nimekuwa nikijichangisha kidogo kidogo na pole pole ujenzi unaenda na utakamilika. Mpaka sasa, nimeshainua boma...
Habari wadau?!!
Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka...
Habarini wadau,
Natafuta tiles za aina hii ziwe na rough surface kwa juu hata ikipata maji isiwe ya kuteleza kirahisi
Nahiraji urgently sana nimezunguka maduka mengi ya kariakoo bila mafanikio...
Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo...
Wadau,
Mkoa wa Morogoro hasa maeneo ya manispaa, ujenzi umekuwa unagubikwa na fault ya nyumba kuathirika na chumvi inayosabishwa na aina ya madini yalio kwenye ardhi (soil properties resulted...
Kuna aina mpya ya choo ambacho kimekuja, ambacho hakiitaji uchimbaji wa shimo au maji ya kuflash
Pia wataalamu wanadai ni kiboko ya harufu, yaani hauwezi kuhisi harufu ya gogo,
Mwenye ujuvi zaidi...
Harufu inatoka kwenye yale mashimo ya nje (septik) inarudi ndani ya nyumba (chooni).
Inakera sana, choo kinatoa harufu mbaya hata kama hakijatumika kabisa.
Hali hii inasababishwa na nini na je...
Mbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare kwenye mkutano wa Magufuli na Bukoba aliomba Bukoba wapunguziwe vifaa vya ujenzi kama bati na simenti kwa kuwa serikali haiwezi kumjengea kila mwananchi nyumba...
Habari wakuu,nauliza kwa wazoefu je ni gharama kiasi gani kujenga nyumba kubwa ya familia(vyumba 4 vya kulala).
Hapo ni zile gharama za kujibana kwelikweli,na tofali ni za block(kubwa).
Vilevile...
Ndugu zangu;
Kwa desturi yetu sisi watanzania,kumiliki mjengo ni moja kati aya ndoto za watu wengi na pia ni kama kipimo cha kiwango cha ukwasi(Networth).Katika kutafuta maisha wengi wetu...
Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama.
Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha.
Ninataraji...
Refer heading above,
Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot
Kigamboni
Kiluvya
Chanika
Kuna yeyote mwenye abc
Kuhusu Hawa jamaa
Wapo ki halali mfano mtu akilipa...
Habari za wasaa huu ndugu na marafiki.
Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi.
Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila...
Salaam waungwana!
Nina ndugu anataka afanye biashara hii na yeye ni mgeni kwenye hii kazi.
Sehemu anapo taka fungua biashara siyo mjini kiasi hicho japo makazi ya watu yapo ni huku mkoa wa...
Habarini ndugu, naomba kujua nyuma ya vyumba vitatu, kimoja master jiko store, dinning na public tolet kwa milion 10 naweza kusimamisha boma???
Eneo ni Dar es salaam Mpiji Magohe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.