Mambo vipi wakuu!
Kulingana na hali ya sasa naomba mchanganuo wa ujenzi wa nyumba hii.Chumba cha kulala kiwe kimoja na sitting room basi na ukubwa ni 6*8.Ukiondoa tofali zipo tayar
karibuni
Habari wadau Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara ngara inakuwaje.??
Gharama zake zipoje kwa Square meter.??
Mahitaji (materials) zinazohitajika .
mwenye sample itapendeza akiweka...
Habar zenu wapendwa.
Mimi kama kijana mwenzenu ningependa kama itawezekana nimiliki nyumba ata chumba na sebure hapa Dar es salam sehemu yeyote kiwanja siyo tabu.
Kwa yeyote mwenye uzoefu wa...
Habari Wana jamvi,
Kwanza niwashukuru JF kwa kuanzisha jukwaa muhimu kama hili, mimi jamani kila nikiangalia post za humu naona zinazungumzwa nyumba ninazo ziona mijini na mara chache huku...
Wadau heshima yenu.
Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo.
1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa...
Habari zenu ndungu zangu,
Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi.
Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara.
Maswali yangu ni yafuatayo :
1) Je, naweza kujenga nyumba ya...
Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
Wakuu,
Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati.
Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na...
Mteja anaitaji elimu kwanza ya bidhaa au uduma kabla haja ihitaji.
Hapa ni maalumu kwa mafundi wote kutoa elimu,ushauri na mbinu za maswala mbalimbali ya ujenzi wa nyumba kuanzia msingi mpaka...
Kujenga nyumba yako mpya kunahitaji umakini mkubwa sana na wakati mwingine unahitaji kushiriki mwenyewe moja kwa moja katika nyanja zote za mchakato wa kujenga nyumba ili uhakikishe kuwa na mwisho...
Hamjambo wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada,
Wakati nikisubiri zile milioni 3 zangu zijae ili nijenge, nimepata wazo jingine la ujenzi rahisi kabisa.
Ujenzi huu unahusisha mawe na mesh (nyavu)...
Habari ya Jumapili wapendwa
Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja.
Nawakilisha🙏
Naombeni msaada wa ujenzi, eti unaweza kupiga plasta kwenye ukuta kwa kutumia white cement na ikawa umepiga ndege wawili kwa wakati mmoja yaani gharama za plasta ya kawaida na ya ku-skim baadae?
Habari wanabodi! Moja kwa moja kwenye mada hapo juu.
Nadhani tatizo hili mtakuwa pia mmeliona kwa baadhi yenu! Nyumba ilipigwa plaster ya gypsum ambapo kama ilivyozoeleka na mafundi wengi gypsum...
Leo nawapa mbinu za kupunguza garama ya Gypsum bord.. UZI,[emoji116]
•Piga hesabu unaitaji Bord ngapi. Mfano unaitaji 50pc. Nunua 20 kwanza mwambie fundi gypsum ziwekwe sehemu zinazoingia nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.