Habar kwenu wadau.
Naomba mwenye kujua wanapotoa mafunzo ya jipsyum/ sum mfano zile fito na urembo mwingine utokanao.
Nimejaribu kutafuta VETA na SIDO kote hamna.
Mwenye kujua tafadhali.
Shukran
Mimi nipo huku mkoani kwa sasa, nahitaji kuvuta umeme kwenye nyumba ya mzee huko Mwanza (Ilemela) lakini nimepata mkanganyiko kidogo.
Kwa taarifa alizonipa ni kuwa, kuvuta umeme ni laki tatu na...
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe...
Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa...
Nawasalimu wanajamvi.
Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua...
Habari wadau wa JamiiForums,
Leo naomba Msaada wenu juu ya Elimu ya kiwanja ambacho hakijapimwa. Je, inawezekana kiwanja hicho kikazuiliwa na serikali kisitumike? Na vip imeshawahi kutokea...
Habari wakuu!
Kama mada inavyosomeka hapo juu,wamiliki wa nyumba za biashara pamoja na watu walioko kwenye fani mbalimbali za ufundi wakiongozwa na mafundi ujenzi ni makundi yanayopata vipato vya...
Habari ya asbuhi wana jukwaa na wadau wote.
Naomba tuelimishane kuhusu tofali za ujenzi za cement manake hua naona kuna tofali za urefu, upana na unene tofauti tunapokua tunajenga nyumba zetu...
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November...
Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink...
Wanajamvi nawasalimu kwa moyo wa upendo kabisa.
Life limenipiga vibaya hapa mjini Tanga na isitoshe bado ni mgeni mgeni
Sasa naona kabisa kazi ambayo haina mlolongo mwingi ni kupiga kazi za...
Habari za muda Wakuu,
Kuna nyumba nimetokea kuzipenda, nimeona Kama gharama ni ndogo. Ni nyumba ambazo zimejengwa bati kwa juu hazionekani.
Kuna maswali najiuliza naomba majibu:
Je, kweli hizo...
Kuna kiwanja kimeshajengwa nyumba kipo nusu bondeni nusu mlimani. Ardhi yake haiko sawa anatafutwa fundi mtaalamu wa kulevel ardhi ili paonekane pamependeza na mvua isiharibu baadhi ya kingo za...
Nimetia nia kujenga nyumba ya kufunika kwa zege. Lakini kwanza kuna mambo nataka kufamu kutoka kwenu:
Je, kufunika kwa zege na kupaua kwa bati lisiloonekana, gharama zake zikoje kwa kulinganisha...
Wanajanzi habari za asubuhi. Ni matumain yangu kuwa wote mko salama kwa wale wagonjwa nawapa pole sana na mwenyezi Mungu atawaponya,sambamba na kauli tata za waziri jafo tuwe wavumilivu.
Naomba...
Habari wadau wa ujenzi na makazi!
Kichwa cha habari kinajieleza kwa ufasaha, kama una utaalam wa kutengeneza garden, nicheki, tufanye biashara ya makubaliano.
Pana sehem yenye makazi ndio watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.