Habari za weekend wakuu.
Mwaka jana mwishoni nilikuja na Uzi wa kuomba ushauri ni jinsi gani naweza pata kiwanja. Watu wengi walinipa ushauri mzuri.
Nikaona itakua vizuri nikileta mrejesho...
Wakuu Habari za muda huu?
Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja.
Nilitaka kuweka glue wallpaper hizi kwenye kuta za nyumba yangu sebuleni na chumbani, lakini nikakutana na ushauri wa hii kitu...
Wakuu habari ya asubuhi.
Moja kwa moja kwenye mada. Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....
But kuna baadhi watu waliowahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye...
Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
Habari wakuu,
naomba process ya kufanya mpaka unapimiwa eneo lako la biashara kufungua kituo cha mafuta, na aina ya makampuni yanayopima maeneo tafadhali.
Niliwahi kumtembelea rafiki yangu, alipewa sehemu ya kujenga nyumba na wazazi wake, eneo halikua kubwa sana lakini ni katikati ya mji.
Alijenga ghorofa na juu aliweka vyumba viwili vya kulala...
JOB TITLE: Telesales Agent
Location: Arusha, Tanzania
Job Purpose/Mission
The Commercial Department plans and executes sales of the EEA products, focusing on achieving national sales targets...
Habarini za asubuhi wa JF,
Poleni na Msiba wa Taifa kwa kumpoteza aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Hayatti Dr John Magufuli.
Naomba Kufahamishwa jinsi ya kuandika anuani ya makazi kwa...
Habarini wadau,
Kama mada ilivyojieleza. Naomba kujua kwa nyumba yenye sebule, dining, jiko, vyumba viwili na master. Kwa makadirio inaweza ikacost shilingi ngapi kuiweka Gypsum. Na ni Gypsam...
SIMPLE TWO BEDROOMS RESIDENTIAL HOUSE DESIGN
One master bedroom
One plain bedroom
Commbined Sitting room and Diming room
Open Kitchen
veranda( front&kitchen)
Plot coverage
15m× 15m=2250sqm
For...
Wandugu JF,
Aisee kuna plot yangu nilinunua Salasala kilima Hewa miaka 7 iliyopita, kulikuwa kuzuri ila sasa naona baada ya ujenzi wa watu mbali mbali na kulingana na nature ya Hapa ni slope...
Habari za leo wakubwa,
Nimeamua kujifunza kupitia jukwaa hili nikiamini katika, jukwaa hili kuna walimu wa hivi vitu na wataalam mbalimbali.
Kiukweli nimeamua kujifunza kudizaini nyumba mimi...
Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini.
Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua...
Wasalaam,
Naomba tu kutoa wito kwa wale wenzangu na mimi tunaojidunduliza ili kujenga nyumba za kuishi na familia zetu kuwa MAKINI sana na WATU tunaowaweka wawe walinzi wa nyumba zetu. Kuna tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.