Habari wanajamii forums,
Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata...
Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala?
Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani...
Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji.
Abstract...
Salam wakubwa,
Mimi ni kijana nimesomea veta ujenzi wa majumba najua kusoma ramani na kuchora pia (hii ya kuchora sio rasmi hua nawafanyia watu wanachokimudu) nishajenga vinyumba vikubwa vikubwa...
Habari wajumbe.
Kuna huu urembo was kisasa ambapo wanachora nguzo na madirisha kwa kutumia cement Kisha ili ikauke haraka wanamwagia VUMBI la cement.
Hili VUMBI kama Kuna upepo hupaa na kuganda...
Kwa mahitaji ya ramani kwa gharama nafuu pia ukihitaji schedule of materials ambayo itakusaidia kwenye kufahamu idadi ya materials ya ujenzi wako, contact 0679851483/0754984819. Hii design in two...
Leo nimekuja na design ya jikoni (kitchen design season I) kama unavyoweza kujionea kwenye hizi picha hapa chini.
Nitaendelea na season II, III, IV na kuendelea.
Ndugu Amani na iwe kenu.
Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)...
Hello everyone,
I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I'm making this week as you can see on the photos below.
These photos show the...
Habari wakuu .
Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje.
Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni...
Habari wadau,
Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni.
Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na...
Ushauri, maoni yote yanakaribishwa kwa yeyote mwenye mawazo chanya katika kuondoa au kumaliza tatizo la chumvi majumbani kwetu.
1. Mimi ni mkazi wa Dodoma(Ilazo) na kwa bahati mbaya sana nyumba...
Nimefikia hapo,
Nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na...
Salam kwenu wakuu.
UPDATES;
Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!!
Mbarikiwe!!
Picha ambatanishi ni boma...
Wakuu naomba msaada, Lengo nataka kufungua kampuni ya kusupply vifaa vya ujenzi na baadae mtaji ukiongezeka niongeze kufanya building and construction.
Naomba msaada maana nataka kufanya usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.