Habari wakuu,
Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu.
Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu.
Nashukuru sana...
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuuma
Habari wakuu...
Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi.
Changamoto kubwa iliyopo ni kujua...
Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25...
Wakuu habari za wakati huu.
Nimelazimika kuingia humu kuomba ushauri kwa ajili ya kapata namna kumpa mke wangu amani ya moyo.
Nina mshukuru Mungu tumejenga nyumba kubwa nzuri na kufanikiwa...
Wakuu habari za weeknd!!
Kama kichwa cha habari.kinavyoeleza, naomba kudeclare interest kwamba my dream nyumba ya ghorofa moja.
Na nimefikia kuchagua contemporary house maana nimesikia...
Ndugu zangu Wana JF Naombeni ushauri wenu. Mimi Niko ARUSHA et mtaa mzuri Kati ya Majengo na Mianzini wapi pazuri na Bei ya vyumba hikoje.
Najua nimesomeka hapo juu. Naombe msaada.
Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani?
NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
Wakuu salam,
Naomba niweke wazi kuwa kwenye fani ya ujenzi mimi ni kibarua mzoefu kwa muda mrefu nimefanya kazi nyingi na mafundi wengi nimeona mengi. Kwenye hii mada nitatoa uzoefu wangu kuna...
Kuna hii taasisi inaitwa Equity for Tanzania (EFTA) inayodai inakopesha vifaa vya ujenzi imenipa utata.
Dada yangu ni mjasiriliamali wa kutengeneza matofali, nyanda za juu kusini. Hivi karibuni...
Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika.
Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya...
Naomba kueleweshwa hapa ipi tofauti ya futi na sqm pale mtu anapokupimia eneo(kiwanja).
Mfano ukiambiwa eneo hili Lina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ni sawa na sqm ngapi?
Mimi nimeshazoea sqm 400...
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
Habarini ndugu zangu,
Nataka kuanza kujenga nyumba ya kuishi, maeneo ni Dar es Salaam, naombeni mbinu bora ya kufanya ujenzi katika angle ya kuwalipa awa mafundi ujenzi, kuna fundi nimeongea nae...
Watu wengi wamejikuta katika hali ngumu ya kifedha au hata kukwama katika ujenzi kutokana na kushindwa kuweka mikakati mizuri ya kupunguza gharama za ujenzi.
Kwa kutambua umuhimu wa ujezi, na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.