Sababu kubwa ya magonjwa Kama UTI, SKIN COMPLICATIONS kutoisha katika maisha yetu ya kila siku
NB: Kudhani chooni ni mahali pachafu/kinyaa na mpaka kufikia point kwenda na ndala au viatu ni...
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele.
Wataalamu wamekuja na choo cha...
Habari za majukumu mabibi na mabwana!
Katika harakati hizi za maisha watu hupitia mengi sana, Kuna kipindi pesa inakubali, Kuna kipindi unachapika mpaka unajuta kuzaliwa. Anyways twende kwenye...
Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo
Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani?
Ikitokea tetemeko vipi?
Sababu kubwa za...
Kumekuwa na changamoto ya namna ya kutafsiri majengo tunayojenga,wapo wanayoyaita mabanda na wengine wanaita nyumba au mijengo. Sasa ni sifa zipi zinazotumika,kutofautisha ili ni banda au hii ni...
Habari za leo wakuu.
Hivi wakuu Chumba kama kinachoonekana kwenye picha kinahitaji shilingi ngapi kukamilika.kiwanja kipo.
Karibuni kwa michango yenu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums...
Nataka kuhamia kwangu mwaka huu nimepiga nyumba plasta Bado kuweka vifaa vya umeme awamu ya pili, Bado draft na vingine vingi.. je nikitafuta hela ya madirisha yanaweza kuwekwa bila kufanya...
Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini...
Wakuu msaada naomba kujua ile sakafu ya chenga chenga inaitwaje? Na je inaweza ikakaa kwenye chuma? nina kibanda changu cha biashara nataka nikiwekee hiyo sakafu ya chenga chenga.
Ndugu zangu habari za majukumu
Naombeni mchanganuo wa Ujenzi wa uwanja wa mpira
1.Pitch iwe ile standard yani 105*68 na iwe nyasi asilia
2.Ukuta wa mzunguko kwanza ambao baadae utaruhusu ujengaji...
Hi guys,
Hello everyone,
I'm Ellyskywilly.
As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing.
So for that case, I'm...
Habarini wadau,
Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.