Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi...
Habari wanajamiiforum,
Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati?
Ahsanteni
Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni.
Twende kwenye mada!
Kuna baadhi...
Ndugu wadau naomba kujuzwa kwa mapana juu ya mada hii tukijikita katika
1. Wiring cost katika nyumba
2. Perfomance
3. Gharama za uvutaji umeme toka tanesco
Asanteni
Salaam wakuu,
Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject.
Kuna mtu...
Nawasalimu wanajamvi,
Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji...
Habari!
Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master...
Kuna yeyote anaweza kunikutanisha na fundi wa vitanda vya chuma Nina idea nataka wa kunibunia anichongee kwa chini kiwe kitanda kwa juu iwe sehemu ya kukalia ambayo unaweza ukafunga screen yako...
Naomba niwashirikishe kwny challenge nnayokutana nayo, ni hv:
Nipo kweny harakati za kupanga na kuanza maisha yangu nikiwa natokea gheto, mm ni muajiriwa nafanya kazi maeneo ya morocco.
Nawaza...
Habari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? Na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na...
Hesabu hii ni kwa ujenzi wa Nyumba simple ya vyumba vitatu (kimoja master)
Ikiwa na upana wa mita 9.5X10.4
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... 3,130pc
mchanga ......... 16m3...
Habari zenu wadau wa JF?
Je, ninaweza kutumia nusu ya boriti ya 2x2 (kuikata katikati kwa urefu nakuwa 1x2) kwa ajili ya blandering? Au inaweza kuleta shida in-terms of strength ya kushikilia...
Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani.
Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna...
Biblia nayo haikubaki nyuma kutoa ushauri kwa wanaotaka kujenga nyumba mpya.
Kumbukumbu la Torati 22:8
[8]Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya...
Naomba kuwakumbusha wale mnaoanza au mnaotaka kujenga.
Mtambue ya kuwa katika ujenzi 60%-70% ya gharama utakayotumia kwenye ujenzi,Mara nyingi huwa ni gharama ya material. Kwa hiyo usijisumbue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.