Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Naamini mafundi wazoefu watakuwa wanajua. Naomba kujua, Cement ya Bamburi ya kule Kenya inaweza kulinganishwa na cement gani ya hapa Tanzania kwa viwango vya ubora?
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Hello wakulungwa na mafundi wabobezi, Naomba kujua nyumba hii ya vyumba 2 utagharimu tofali kiasi gani!? Msingi pekee tofali ngapi!? wenye angalau coz 5, napendelea nyumba iwe juu. Kutoka kwenye...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari! Kama ilivyo mada tajwa hapo juu. Kama mjuavyo ujenzi ni gharama sana hasa ukifuata kanuni zote za ujenzi. Binafsi nataka kujenga lakini katika hesabu zangu za kusimamisha boma, nimekutana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wadau? Natumai hamjambo wakubwa heshima kwenu. Nina kiwanja changu kidogo ambacho kina 34ft urefu 22ft upana Ambacho kipo KatiKati baina ya nyumba na nyumba. Sina mashaka na urefu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mtu anajua gharama ya kujenga aina hiyo hapa ?
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari jamaa. Ninatumai mko njema. Ningetaka kushare hapa ladhaa yangu kwenye architecture and decoration. Labda mtaipdenda na kupata wazo chache. Nipe maoni yako. Kama hautapenda, haina shida...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji kujua ni raman ipi nzuri ya nyumba kwenye kiwanja cha 23 × 16 inayoweza kuwa na vyumba vikubwa 3, sebure kubwa dirisha kubwa ...Jiko,store,dinning hata vikiwa vya kawaida sio mbaya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze. Maoni yenu muhimu kwenye ili swala.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800. Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za hapa kwa wataalam. Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wakuu, Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo. Sasa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Nahitaji kujua bei ya bati za kawaida izi kwa mkoa wa mbeya Sio mtahalam sana wa mabati ila sio zile za msouth,ni bati tu zile zakawaida. Sema futi za bati sizijui ningependa...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu wenye uzoefu na maisha shikamooni. Mimi nafanyabiashara ambayo inaniingizia 7000 kwa siku kama faida Sasa nina kiwanja heka moja mother aliniachia kimekaa muda mrefu hakina Kazi kilikuwa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wakuu, Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekuwa na Tatizo la kuona kila niki weka tiles, zinapishana. Mara nyingi na nunuaga tiles za makampuni ya hapa nyumbani Tz, kwa sababu ya Urahisi, lakini pia kuinua viwanda vya ndani. Ila mara...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom