Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini, Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam. Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni kujua MCHANGANUO WA GHARAMA za ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja master na sebule kiwanja tayari Ninacho tofali Ninazotarajia kitumia Ni za cement...
3 Reactions
29 Replies
15K Views
Habari zenu wanajamvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza...
12 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Nataka kujenga chumba (master) na sebule pamoja na choo cha nje itanigharimu Tshs ngapi mpaka kufika kwenye renta ? Karibuni wenye uzoefu
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu, Nimefanya utafiti usio rasmi. Ndani ya Tanzania yetu. Nyumba nyingI Sana zinajengwa zikiwa na sehemu ya dinning room. Cha kushangaza, nyumba nyingi Sana Dinning room zimegeuzwa eneo la...
10 Reactions
87 Replies
12K Views
Habari za mda huu, Wana jamvi wenzangu Kama uzi unavyojielezea, kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka zamani tumekuwa tukiona umeme wa majumbani ukifungwa single phase na viwandani ukifungwa wa three phase. Lakini siku hizi hata majumbani watu wanafunga umeme wa three phase tofauti na zamani...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Habari, Wana ndugu Leo nilikuwa napitia jukwaa hili, na kusoma baadhi ya thread zinahusiana na Ujenzi Kama niliutaja hapo juu, Ila wadau walipokuwa wanachanganua gharama ni hatari yaani inatisha...
3 Reactions
6 Replies
10K Views
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara. Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa kifupi natamani kujua ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja una milolongo ipi ambayo ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida. Je,kuna mambo ya kisheria ya kuzingatia? Sent from my VF-795 using...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ramani inaweza ingia mabati mangapi na matofali mangapi ikipauliwa hivyo kuanzia msingi location Dodoma.
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Hbr, Msaada wa kufahamu initial costs za kujenga uzio wa seng'enge (Yaani chain link fabric) kwenye kiwanja. Kiwanja kina 35×40. Je, Zinakuwaga na urefu gani hizo seng'enge na pia zinauzwaje, Na...
1 Reactions
32 Replies
22K Views
wakuu habarini...naomba msaada wa kujua garama ya kumlipa fundi ili anijengee nyumba kama hiyo pichani. Vyumba viwili vidogo vidogo 3*3. Sebule yenye dining, choo kiwanja kipo, tofali 6500 za...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Ndugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo. Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom