Habari..! Naomba kujifunza taratibu za uzabuni.
Kwa mujibu sheria za manuzuzi katika miradi ya serikali mfano vifaa vya ujenzi kutoka kwa wazabuni kwa mfumo wa force account.
Malipo ya nauli ya...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali...
Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani.
Sasa swali langu ni kama hivyo...
Habar ya wakat huu ndugu wadau wa JF na jukwaa la ujenzi.
Nipo kwnye mchakato wa kujenga nyumba/ viappartments vya kupangisha hvyo nimeonelea nije hapa jukwaani kwa kuwa naamini kuna fursa ya...
Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni...
Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo:
1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design...
Wakulungwa habari ya leo
Baada ya kunyaka 4M juzi kati, Leo nikaamua nijisalimishe ofisi ya serikali ya mtaa kujua taratibu za ujenzi.
Nilichoambiwa ni kuwa, kabla ya ujenzi natakiwa kuwasilisha...
Hello wakuu mambo vip.
Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza.
Makadirio ya tofali
Makadirio ya mifuko ya...
Habari ya wakati huu mdau wa JF??
*Sasa namiliki nyumba ya kisasa ndogo iliyonigharimu muda mrefu sana kufikia hatua hii ilipo na nimehamia nimeacha kuumia kila mara kwa kulipa kodi ktk nyumba ya...
wenzetu wanazidi kupiga hatua kwa teknolojia ambazo kwa sasa zina kuja kasi.
Teknolojia ya 3d print imeanza miaka michache iliyopita.
ilianza na kuprint vitu vya plastic na fibre
baadae ikaja...
Habari kwa wote.
Ni imani yangu JF ni sehemu halisi kwa kila aina maswali yanayosumbua katika jamii. Leo naomba tupeane mbinu za kudhibiti wizi hasa wa mafundi tunaowakabidhi dhamana ya...
Habarini .....
Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.
Chumba na choo chake (Master)
Sebule (Living room)
Public toilet...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano.
Kuna jamaa nilikuwa namdai kanilipa 4m juzi, Sasa nafikiria kujenga nyumba ya biashara (chumba na choo chake) vyumba 3 pamoja na fremu 2 kwenye eneo...
Wadau Habari za asubuhi?
Nikiwa site nilitembelewa na sales team wa haya mabati ya Sun Bank. Wakajinadi sana wakidai bati zao ni bora sana mithili ya ALAF
Wakasema izo bati ni popular Arusha ...
Wengi tunapenda kujenga nyumba kubwa ikiwa na vyumba vingi mara maktaba, vyumba vya wageni n.k lakini kiuhalisia ni vyumba vichache vinavyotumika, utakuta labda nyumba ina vyumba vitano, na...
Unapojenga nyumba unakuwa na kusudio la ujenzi huo. Hii inakusaidia kupata ramani na budget ya jengo. Wengi wetu baada ya kujenga nyumba ya kukupatia vijusent kwakua nyumba ni asset inayodumu...
Habarini za asubui Wana JF,
Kutokana na ukuaji wa teknolojia katika suala zima la makazi , nimeona katika nchi nyingi uwepo wa park homes au Prefabricated homes (detached bungalows) nikimaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.