Habarii zenu wakuu, kama kawaida sisi walala hoi, wenye hela za mawazo kila kukicha tunapambana walau kupiga hatua.
Nina kauwanja na nina tofali 700 plan ni kupata 2 bedrooms, 1 master...
Salama wanajamvi?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Wiki nne zilizopita Nilifunga mbao za kench ktk site yangu na kuoda bati alaf ila bati bado hazijatoka nimeambiwa nitegemee zitatoka ndani...
Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka
Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka...
Habari za humu jamvini waheshimiwa.
Nawapongeza sana kwa uwepo wenu kwenye jukwaa hili muhimu.
Mada:
Mimi nilifanya tathmini ya gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sebule...
Ndugu zangu!
Nyumba ipo eneo ambalo sidhani kama kuna fungikuvu wala bakteria wala unyevu, (hapa najifariji kuwa sihitaji binder) kwa maana nyumba za huko nyingi ni za udongo na ziko poa tu...
Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs...
Habari wakuu!
Jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa.
Naombeni...
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247
Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo:
Kiwe ni master room
Kiwe maeneo ya Kimara
Kiwe ndani ya geti/fensi...
Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na...
Tunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.
Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki...
Wadau wa JamiiForums habari zenu, Mimi Ni graduate engineer kwenye kozi ujenzi barabara na majengo ngazi ya Diploma, hivyo Ninaomba msaada wa kimawazo Kuna contractor ambaye alinisihii nimsajilie...
Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning...
Wadau, naombeni kujuzwa (majina na namba za simu) za maduka yanayouza vifaa vya umeme kwa ajili ya wiring ya nyumba ya makazi. Nimekuja Dsm nataka kufanya shopping.
Natanguliza shukrani.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.