Kama kuna Mtu ana kiwanja ilemela barabara ya malaika kuanzia square mita 1000 na ana kiuza anicheki Tunahitaji kiwanja maeneo hayo..
Kiwe karibu na Barabara ya Lami
Wadau, Wana Jf Kheri ya Christmas kwenu.
Wadau, pichani chini ni nyumba yangu niliyoanza kuijenga mwezi wa Sita inaenda kwa kusuasua ila namshukuru Mungu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wenu...
Habari wadau , kwanza nadhani wengine ndio itakuwa ni mara yao ya kwanza kuona Tofali nyekundi ya block.
Nirud kwenye mada jengo limejengwa kwa mchoro wa kupaua kikawaida ila sasa kutokana na...
Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza.
Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
Wandugu,
Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri.
Nna kaunjezi kapo kwenye level ya kupaua sasa pesa ya mbao ipo mfuko wa shati ila ya bati itapatikana baada ya kama mwezi na nusu.
Mimi nilitaka kuweka...
Habari wakuu,
Samahani naomba kufahamu hivi kuna mashine za kufyatulia matofari ya blocks zinazotumia umeme wa single phase? Maana asilimia kubwa vijijini kuna umeme wa single phase, na kama...
Kutokana na changamoto za kifedha, nimeamua kila shilingi moja katika ujenzi lazima nisevu. Badala ya fundi kumpatia kazi yote ya kupiga plasta ,na yeye kutafuta vibarua nimeona napata hasara...
Wakuu habari za hapa jamvini?
Nitumbukie kwenye mada yenyewe.
Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na...
Wakuu poleni na majukumu.
Nimejaribu kupitia humu uzi totauti tofauti ila bado sijapata jibu. Naomba kwa anayejua bati nzuri za ALAF Gauge 28 kati Romantile na Versetile ipi nzuri?? Uzingatia huu...
Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa.
Swahiba mmoja...
Zote hizi ni ghorofa
Nyingine imejengwa bila nguzo na bim (column & beam):- uzito wa slab unabebwa na matofari/ukuta
Nyigine imejengwa kwa nguzo, bim, na slab (column, beam, slab) na baadaye...
Nina vifaa vimebaki hapa wadau
1. Fiber Moja Kwa shs 3500 TU za Andika. Zimebaki nne.
2. Msasa Mita 1500 TU.
3. Brush mbili Kwa 3000 TU.
4. Gypsum powder BBG mfuko mmoja Kwa 13000 TU.
5. nipples...
Habarini ndugu, naomba niende moja kwa moja kwenye pointi. Naomba nijuzwe ni wapi naweza pata tiles nzuri za dimension zifuatazo na bei zake na iwapo kama naweza kubaliwa kulipa kidogo dogo.
1...
Wapambanaji mpooo! Naomben kufaham ni kampuni gani nzuri inayo tengeneza bati imara ambazo haziwezi kupauka?
Nikipata makampuni tofauti tofauti itakuwa vizuri sana na bei zao kwa bando
Bati gani nzuri za msouth zile zenye mgongo mpana au hizi zenye migongo kama mabati ya kawaida na gharama zake je zikoje?
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.