Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for: 1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Inapendeza kuwa na cubicle shower na bath tub lenye jacuzzi. Siku moja moja unatoa stress.
12 Reactions
23 Replies
5K Views
Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe...
22 Reactions
81 Replies
11K Views
Naomba kuuliza: Unaweza kutumia mfumo wa sora ya wat 100 kwenye nyumba ambayo imekonekitiwa na njia zilezile za umeme? Maana sehemu nilipo umeme bado hauja fika nimenunua solar. Naomba kufahamu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habarini za muda huu, samahanini kwa usumbufu ila naomba kujua nyumba hii kwa wastani inaweza kuchukua bati ngapi za msauzi maana nimesimama kutokana na kutokujua idadi kamili. Nyumba ipo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naombeni kuuliza au kupata ufafanuzi kwa wanaofahamu haya mambo au waliopitia hizi heka heka za serikali na mifumo ya sheria zetu za Tanzania. Hivi inakuwa mtu unakiwanja...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake...
10 Reactions
69 Replies
13K Views
Habarini za saa hizi wana JF, Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Nipo mitaa ya Osterbay kwa mbali naona mjengo wa Mo Dewji kwa mbali tena naona mjengo wa Paul Makonda kwa pembeni yangu naona mjengo wa makamu wa Rais nikapita Bongoyo road nikakutana na mjengo...
40 Reactions
289 Replies
29K Views
Wakuu habari, Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake. Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njiani nibaki pagale ushauri wenu wadau.
15 Reactions
206 Replies
26K Views
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi. Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenye anaweza kuwa na ramani ya haka kajumba anitafute inbox tuongee
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Mafundi nisaidieni materials za haka kamchoro karamani hapa. I mean BATI ngapi? Idadiii ya TofaLi Cement. Mawe Nondo.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nashukuru Mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi. Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuwa kubwa sana Bati za...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Wakuu salaam, Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia...
10 Reactions
67 Replies
13K Views
Back
Top Bottom