Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na...
17 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna kampuni moja inatangaza inauza viwanja kwa ofa kuanzia laki moja (20x20) maeneo ya Bagamoyo. Mwenye taarifa zaidi? Chanzo E.FM
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi? Najaribu kupiga mahesabu yangu ya uwiano hapa, naona yanagoma kubalansi...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Habari nyingi sana hamjambo wakuu? Mimi bana mipango yangu nataka nianze ujenzi mwakani nina shakuhuku sana ya kukaa kwenye miliki yangu ndio furaha yangu ya badae... Nikimaliza kulipa ADA za...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, happy new year. Leo katika kuperuzi kwangu katika mtandao wa facebook nimekutana na mtu anatangaza anatengeneza tofali za kupachika (interlock block)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4 Vigezo; Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam) Eneo la kutosha...
5 Reactions
181 Replies
26K Views
Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana. Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako...
9 Reactions
138 Replies
14K Views
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 25 millions. Kiwanja kipo tayari na eneo la ujenzi ni mkoa wa Mara. Je hiyo budget inaweza kufinance ujenzi wa awali, kupaua na...
4 Reactions
90 Replies
17K Views
Naomba kujua ndugu zangu, idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi. Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
Habaro yako.. Husika na mada tajwa hapo juu.
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau Hawa waturuki waliopo mbezi Goba Wana sikika Sanaa Je huduma zao NI kweli nzuri Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa hapa bongo hii AC ina bei gani?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi...
8 Reactions
75 Replies
18K Views
Wakuu nimeona kuna gap la kama milioni moja kwa bei ya G30 na G28, je bati G30 haina shida?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Nauliza zile bomba zinazowekwa katika nyumba sehemu za ngazi au kingo kwenye balcony na sehemu kama hizo zinaizwa wapi na bei yake ikoje? Bomba hizi hujengewa kwa ajili ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Napenda kuwa fahamisha kuhusu nyumba Aina ya contemporary ( nyumba za bati za kuficha). Nyumba hizi huwa na muonekano mzuri sana kama utapata mtaalam mzuri wa...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba kuuliza nyumba yenye urefu na upana wa futi 30 hiyo ni nyumba ndogo au kubwa?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom