Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo.
Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani...
Wakuu kwema !
Kama maada inavyojieleza hapo juu, kuvuja kwa nyumba iwe ya kawaida(mfuto), ghorofa(storey), contemporary n.k.
Maoni, ushauri karibuni sana.
Kwanza niwe muwazi kabisa nyumba nyingi...
Kuweka TV ukutani inapendeza sana. Lakini hamna kitu kinakera kama kuona mawaya yananing'inia kutoka chini kwenda juu kwenye TV. Haipendezi kabisa na inaondoa uzuri wote wa eneo hilo.
Jinsi ya...
Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni...
Habari zenu waungwana, napenda kujua na kufahamu, kuna madirisha yale wanayotumia sana maeneo ya vijijini yenye kuwa na baridi sana, napenda kujua gharama ya vioo vyake hua ni vidogo, mfano kioo...
Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia?
Nayasubiri tu majibu...
Wadau kwemaa!
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako
Coral
Plastcon
Billion
Binafsi hi billion sioni Kama no...
Habari za mchana wajenzi...
Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa...
Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana.
Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh...
Jamani nimenunua kiwanja kikubwa tu lakini mm sijajenga na mama yangu hajajenga na hana kiwanja na karibu anastaafu sasa nilikuwa nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu nikaona baadaye itakuja...
Wanajamii habarini,
Samahani naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya room mbili ambayo itakua na choo ndani na ka kibaraza kizuri cha kuvutia..
Atleast yenye muonekano kama pichani
Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama.
Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua.
Hakuna kitu...
Samahanini wadau naomba kujua hivi kujenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege zile. Uimara wake ukoje?
Engineer anadai kwa aina ya udongo ukiwa na matofali imara yakajengwa kwa kulaza...
Uvimo Maktaba.
Uvimo Civil Group tukiwa wazoefu na watoa huduma kuanzia
Kuchora ramani
Kusoma ramani
Kujenga kwa au bila ramani
Kupaua
Plasta
Bomba plumbing
Uwekaji umeme wa kisasa
Rangi
Tiles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.