Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni...
Habari wana JF!
Uzi....
Mwaka 2017 nilikuwa na rafiki yangu akaniambia kuna mahali panauzwa Viwanja akashauri twende kuangalia, Mimi sikuwa na pesa kwa wakati ule ila nilienda, tulipofika kweli...
kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati.
Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye...
Mimi ni kijana mwenye miak 32 nimeitimu chuo ngaz ya stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement) 2012 nimesotea ajira toka 2010 adi leo patupu mara usajiliwe na board wanataka pesa mara ufanye...
Wakuu, naomba mnisaidie jinsi ya kumaliza tatizo la mchwa kwenye nyumba, nitumie njia gani kutatuta tatizo hila.
Wanatafuna kweli kweli, na kujua alipo kiini Chao ni ngumu, anaejua dawa ya...
Habari ndugu,
Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu.
Nilikuwa nasikia tu watu wakisema mjini kuna...
Saruji isiyo na maji ni jina lililopewa saruji ya portland ambayo chembe za kuzuia maji zimeongezwa.
Saruji isiyo na maji (pia huitwa simiti muhimu) kwa ujumla ni bora zaidi kutumika kwenye...
[emoji117]Tumezoea unaoga uchafu unatoka mwilini, sasa ile unaoga afu uchafu unarudi Kwenye maji Yale Yale Ni KERO Sana kiukweli.
[emoji117]Unaharaka zako unahitaji uoge chap chap uende zako afu...
Nafikiri watu wengi huchanganya choo na bafu kwasababu ya bajeti.
Lakini huyu kweli alikuwa na shida ya budget?
Ni mafundi mmekremisha? Ukosefu wa ubunifu? Au wenye nyumba wenyewe wanapenda...
Wakuu,Heshima kwenu nyote.
Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga.
Leo nilienda kutembelea sehemu...
Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi).
Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu...
Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili.
Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa.
Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande...
Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni...
Nimejichanga miaka kadhaa hatimae nikapata kakiwanja kangu huko ndanindani Zingiziwa
Nikajichanga tena wazo ni angalau niwe na kakibanda hata kamgongo wa ng'ombe nisahau adha za kodi. Juzi...
Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.