Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti.
YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani...
Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au...
Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za...
Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi...
Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu.
Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na...
Salaam wadau wa ujenzi,
Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm.
Of course najua lililopo Victoria,
Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti...
Salaam wana JF,
Nimetumia plywood kama kuta za banda la kuhifadhia bidhaa zisipigwe na jua. Kunyeshewa mvua za wiki mbili tuu imebadilika rangi na kuwa nyeusu. Nikashauriwa, nikapaka rangi ya...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi...
Amani iwe kwenu wanaukumbi.
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi anayotujalia katika maisha yetu ya kila siku. Niende kwenye mada moja kwa moja, mwenye ijuzi wa mambo ya ujenzi...
Habari wakuu,
Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa...
Habarini za humu JF?
Nilikuwa naomba kwa wenye utaaramu wa ujenzi na kulingana na hali ya kkmazingira na gharama kutofautiana kulingana na mazingira au maeneo tuliopo.
Hivyo nilikuwa naomba...
Katika Kufanya Bathroom yako kuwa ya Kisasa na Ya Kuvutia..Shower Mixer za Kuchimbia Ukitani ni best option.
Installment yake ni Kwa kuanzia hatua za Awali za Kutengeneza mfumo wa maji safi na...
Wakuu habari zenu,
Naombeni kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko, katika vtu vifuatavo hapa Dar es Salaam.
1 Mawe, kokoto, na mchanga
2...
Habari wakuu.
Mimi naombeni msaada wa kutaka kujua kama je ni kweli unaweza kubadili jina la muuzaji kiwanja kwenda kwa mnunuaji kiwanja?
Nimenunua kiwanja ambacho kina OFA tu sasa bado...
Habari ndugu zangu wa JF..Leo tuzungumzie sababu za harufu chafu ya choo kurudi ndani asa katika vyoo vya kuchuchumaa au Asian type..zifuatazo ni sababu za harufu chafu kurudi ndani..
1.Trap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.