Naomba kujua hili la material ya bati. Nataka mabati kutoka china ila swala la material namba hizi zinanichanganya.
Kwa wataalam namba hipi ndo materila nzuri.
DX51D, DX52D, DX53D, DX54D, DX56D...
Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia...
Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu....
Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake
Fundi wa...
Wakuu,
Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.
Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza...
Waheshimiwa,
Nipo katika ile hatua ya kuumiza kichwa,
Fundi ameniandikia vifaa vinavyohitajika,
Naomba mnijuze bei ya items namba 1 hadi 8, hasa ndugu zangu wafanya biashara wa hardware Dar.
Sababu kubwa ni mjengaji kumudu gharama. Kwanza fundi akiiona picha na ramani anakutajia gharama yake. Gharama anakutajia kwakuwa anaijua kazi na anaujua ugumu wake. Unaamua kumtafuta fundi...
Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!!
Mkoa wa Dar es salaam
Vigezo!
Gorofa 3 au 2 au 1
vyumba 25 na kuendelea...
Habari za pilikapilika za majukumu ya siku ya leo.
Naamini siku inaenda vyema kwako.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba MSAADA wa kujua lilipo duka zuri la vifaa vya UMEME (TRONIC)...
Habari zenu ndugu zangu wa JF..Leo tuangalie sababu zinazo pelekea choo kupata pindi tu kinapo anza kutumiaka
1.Kununua choo kilicho na ubora mdogo hapa ata ukifanyie usafi vipi choo lazima...
Maeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.
Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP.
Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?
Na bei ya generator...
Nipo naandika project ya smart city.
For a Better Urban Future. The way we can overcome the challenges of urban house through join forces btn squatting community, government policies and other...
Habari za mda huu wana jf kuna matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane ....... hakuna dalali wala mtu kati kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0742612561...
Habari . Nimepata kuona kwenye nyumba za matajiri wachache wanafunga European Aluminum very high quality na ngumu zinakuwa na rangi ya blue. Ulitoa Atlantic metal Ltd ni nani mwingine anatengeneza...
Wanaojua taratibu za kufanya kujua kingingi cha nyumba yako ili utata uishe na jirani. Ndugu yangu amenunua nyumba Ilala mtaa wa Moshi. Hizi nyumba zilijengwa enzi za Nyerere sasa anataka kujua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.