Habari za jioni wanaforum.
Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa...
Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au...
Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi ...
Amani iwe juu yenu wakuu..
Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo.
Tuje kwenye mada sasa...
Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za...
Naomba msaada Wana JM kuhusu tofauti ya white wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi au kipi ni kizuri zaidi katika finishing ya juma.
Natanguliza shukrani.
Kumekuwa na ujenzi wa aina tofauti tofauti hasa ujenzi wa ( shimo ) katika ujenzi ambao nimejenga kama jinsi unavyoonekana hapo kwenye picha na video. Itanichukua muda kuchimba shimo lingine, hapo...
Habari JF,
Sambamba na kichwa cha habari hapo juu, nina boma la chumba kimoja, nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka, so yeyote mwenye bati kumi aniuzie kama zilibaki kwenye ujenzi au anazo tu...
VACANCY
Amref Health Africa –Tanzania is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose mission is “to improve the health of people by partnering with and empowering...
Habari wataalamu?
Naomba kuuliza kama ninaweza kuezeka kwa zege kibanda ambacho kimejengwa kama ifuatavyo:
1. Ukubwa wa kibanda ni futi 9 kwa10 .
2. Kimejengwa kwa tofali za bloko nchi 5 kwa 9...
Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
Habari wadau
Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony
Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi
Habari,
Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka.
Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
Habari wadau kwema? been a while nimekua msomaji tu humu ila leo nimeona nitafute msaada wa kiuzoefu huko nyumbani
Currently naishi mbali na Tanzania na nilikua najaribu kufanya overview ya bei...
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.