Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi =...
Huku maeneo ya kwetu Kibaha -Visiga nyumba zilizokuwa zinaota kama uyoga miaka miwili iliyopita sasa zimebaki maboma tu na waliokuwa wanazijenga haijulikani wamepotelea wapi.
Sasa hivi ujenzi...
Kwa yeyote anaaeuliza ni wapi atapata AC na vifaa vyake vyote na mafundi wazuri wa kufunga AC awasiliane na sisi. 0685843224
tunatoa warranty ya mwezi mmoja kwa mashine used.
Kwema wadau
Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka)
Maana hapa mtaan kuna...
Niko under 30 nimechoka kupanga, nina kipato cha kati ila hakipo constant kulingana na ninachokifanya.
Nimedhamiria kujenga contemporary ya room 2 jiko na sebule bila dinning.
Kianzio milioni 10...
Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja...
Nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili.
1 Nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) /Resho ya kujengea na mitikisiko midogo...
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza...
Habari za jioni waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nnashida na dawa ya kukausha zege haraka.
Mwenye kujua inapopatikana gharama zake na muda inayotumia hadi zege kukauka.
Wakuu habari za jioni?
Kwa anaefahamu naomba kwa anaefahamu bei za vifaa vya maji vifuatavyo kwa mkoa wa Tanga anifahamishe na sehemu duka lilipo.
1. IPS PIPE 1/2"
2. IPS ELBOW 1/2"
3. IPS TEE...
Wakuu,
Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.
Leo...
Wataalam naomba mchango wenu wa mawazo.
Hivi kiwanja chenye ukubwa wa futi 40 kwa futi 50 kinaweza kutosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule public toilet na jiko.
Naomba mwenye uzoefu...
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie...
Wakuu naomba kupata uzoefu wenu Kwa wale waliowekeza au kufuatilia uwekezaji wa apartments huko Dubai na miji mingine, naomba kujua hii biashara inaendeshwaje hasa ukiwa mbali na namna ya kuwekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.