Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa Ramani ya vyumba vitatu kimoja master, sitting room, jiko na dining itachukua bati ngapi. Ramani Ni hii apa chini NB . Mabati ya kawaida urefu ft 10. Asante.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu. Naomba wataalam wa kuezeka nyumba wanijuze kuna umuhimu gani kutumia bati gauge 28 badala ya gauge 30? Je, nikitumia gauge 30 kuna tofauti yoyote itakayokuwepo kimuonekano...
2 Reactions
28 Replies
38K Views
Wakuu, site yangu ipo pembeni kabisa ya mji, ambako makazi ya watu ni scattered (mji mpya). wiki Mbili zilizopita, jirani mmoja ameng'olewa madirisha mawili ya grill ambayo yana siku nne tangu...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wakuu, poleni kwa majukumu. Naomba ushauri wa kuhusu kujenga nyumba na matofali ya interlocking blocks. Wazo la nyumba: nyumba ya room mbili isiyokuwa sebule jiko na public toilet Naomba...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Dear Team, Introduction: Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza, What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct...
2 Reactions
4 Replies
688 Views
Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu.. Naomba kuuliza je kwa bajeti ya Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba ya vyumba 2 na sebule? Simple but classic
5 Reactions
58 Replies
21K Views
Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k. Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi. Msingi upi...
4 Reactions
24 Replies
18K Views
Mwenye uzoefu na wallpaper zinazowekwa sakafuni zina uimara kiasi gani na zinaweza kuwa ni mbadala wa maramaru.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jumapili Wadau. Kuezeka nyumba ya 11×12 inaweza kughalimu shingap? Kama atapatikana mtaalam nikamtumia na ramani itakuwa nzuri ili aiangalie then anipe mrejesho wa kila kitu na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamii, kwa wale watalaamu wa architecture design na wazoefu wote wa nyumba, nilikuwa naomba ushauri wenu juu ya ramani hii.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa. Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf. Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Peace Be Upon Y’all Husika na kichwa Cha Habari Kuna site kimeoteshwa kibanda sasa uwani kumebaki nafasi ambayo plan ikawa iwekwe stand ya kubeba tank la maji la 10,000 ambayo litabebwa na stand...
1 Reactions
36 Replies
14K Views
Habari za muda huu wapendwa wana JF. Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo, Ni imani yangu nyote ni wazima, la kama kuna ambaye si mzima Mwenyezi Mungu amjalie apate afya njema. Leo nimekuja tena hapa jukwaa mahiri la Ujenzi na Makazi nikiamini kua...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Nataka kujua gharama za ujezi choo cha aina hiyo napatikana shelui,Singida ,kama kuna expert yeyote aliyeko karibu na shelui anaweza nicheki WhatsApp 0742961750 tuzungumze.
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Naomba kujua bei ya:- Wavu Fesna lock Riveti Rubber
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom