Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Natafuta Watu wa kung'oa visiki shambani kwangu Mlandizi, shamba halina visiki vikubwa ni visiki vya miti size ya mkono wa mtu mzima. Ukubwa ni Heka Mbili, Mtu au Watu watakaofanya hii kazi ni...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wanazengo. Naendelea kukamilisha ujenzi niko hatua ya mwisho ya kuweka milango, kila nikizunguka nakutana na mbao Kwa macho ni nzuri lakini hazina majina kama Mkongo, mninga nk...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Utumiaji wa tofali choma, unaweza kunipunguza gharama za ujenzi? Na nichangamoto zipi naweza kukutana nazo endapo ntafanya ujenzi huu?
1 Reactions
41 Replies
29K Views
Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka! Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako! Foor Plan yake ni hii hapa chini:
1 Reactions
50 Replies
14K Views
Habarini wanajamvi? Hongera kwa uhai, naombeni ramani ya vyumba vitatu ramani ya kisasa yenye, • Sebule kubwa ya kiasi chake na dainng • master yenye dressing room na toilet • room moja iwe...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Zoezi la upimaji wa viwanja na uwekaji wa namba katika nyumba , kibinafisi zoezi hili halijatolewa ufafanuzi katika jamii , katika mtaa wangu jamii naona haelewi na haijajua makakati wa jambo hili...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Kwenye mchoro wameandika 2950 kwenye scale wamesema 1:75 ufafanuzi please
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ndugu zangu nina hiyo Ramani naombeni mnijuze vipimo standards(medium) 1. Vyumba vya kulala 2. Master 3. jiko 4. Dinning 5.Store 6.Vyoo 7. Korido
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wakuu!! Kama nilivyosema hapo juu naitaji msaada wa kujua rangi gani za/ya faha kupwaka kwenya nyumba ususan kwenye vyumba,siting room,jikon na dyining room! MSAADA wakubwa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kujua bei za rangi za emulsion lita 20, silk lita 20,oil paints zile za makopo ya lita nne gypsum powder,hizi ni kwa maeneo ya Dar tu kwasasa nipo nje ya Dar, bei zinabadilika najua ila...
3 Reactions
17 Replies
17K Views
Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi? Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga. KUJENGA BOMA tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000 mchanga ...
46 Reactions
83 Replies
22K Views
Wadau kichwa tajwa hapo juu Niko na 26 Years Jijin Dar income 200k per month na 30k allowance per week ktk harakati za maisha Mungu amenisaidia kuwa na nidhamu kubwa sana ya kutimiza malengo...
2 Reactions
5 Replies
766 Views
Wakuu , naombeni kazi Naweza kudizain raman za nyumba na kujenga, pia ukinipa ramani yako naweza kukupa makadirio kuanzia msingi, kupaua adi plaster..
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu habarini za majukumu? Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi...
2 Reactions
35 Replies
11K Views
Wakuu habari, Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za...
8 Reactions
60 Replies
10K Views
Helo wakuu nahitaji fundi mzuri wa ujenzi, na awe na utaalamu wa kujenga hizi nyumba za kuficha paa. Kwa sasa nahitaji kupandisha boma kwanza, nyumba ni vyumba 2, kimoja self, jiko seble dining...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Wana Jf Nina boma langu style hii inayoonekana pichani naipenda sana kwani haijaingia sana mtaani hasa maeneo niliosimika boma langu af pia kutokana na kipato changu 200k naona...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme. Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom