Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wakuu habari, natanguliza shukrani kwenu, nilikuwa nauliza gharama ya kuweka shoti ya umeme kwenye uzio wa nyumba ipoje, naombeni msaada
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe? note;Fundi kanipa gharama yake ya kujenga msingi pekee kwa ukubwa huu wa nyumba ni...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama ilivo kwenye utangulizi, mdau anaomba kufahamu tofauti ya mbao za Buhindi na za Iringa manake wauza mbao ukiwaambia watoe tofauti wanakuwa waswahili tu hawasemi wazi wazi.... msaada kwenu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU. PICHA NUMBER 1 PICHA...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
[emoji120][emoji362][emoji375][emoji373][emoji997]
4 Reactions
2 Replies
593 Views
Waheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani, Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini. Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking. Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa wale wataalamu na wazoefu wa interior design (commercial na villas) tuwasiliane, kampuni au freelancer
1 Reactions
3 Replies
690 Views
Kazi yetu ni Kukupa kilichokuwa Bora Kuanzia Skimming, Rangi na Kufanya Decorations Kali ndani na nje Nyumba, Ofisi, Ukumbi, Clubs n.k Karibu Ofisini Kwetu Mianzini, Arusha, Tanzania au kama upo...
1 Reactions
0 Replies
522 Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu gypsum kwanini inapasuka na haijachukua muda tangia imewekwa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wadau, Nipo maeneo ya Goba, ziwe zimetumika mara moja tu. ziwe kwenye hali nzuri. tuchekiane inbox.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Asalaam Alaikum Mabaharia wana msemo wao "one day yes", nasi, Abraar Bricks Nyumba kwa wote tunamshukuru Allah, wiki hii iliyopita tulikua na "Yes" double. Yes zetu zote mbili zilikuwa ni...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimetoka nasoma habari chanzo BBC..." Michael Jordan" anahangaika kuuza jumba lake la kifahari lenye vyumba 9 na mabafu 19[emoji23]...mabafu mengi kuliko vyumba Wajuvi mnisaidie haya mabafu yote...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
1 Reactions
5 Replies
3K Views
1. "Abraar Hollow Blocks". Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu...
12 Reactions
184 Replies
15K Views
Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
2 Reactions
3 Replies
641 Views
Back
Top Bottom